Wanaume tunaopenda fashion ni rahisi kupoteza ubingwa

Kupoteza ubingwa ni hulka na hiyari ya mtu.
Wapo walio poteza ubingwa na wamesha kubuhu, ila hawana haya mnayo yasema hapa.
Vizuri umetolea maelezo kwamba hawavai hereni wala vikukuu lakini ni manjemba yamekata na yapo gym, sura za kazi foward hazipiti, lakini sasa washaaga ubigwa wanapumuliwa kisogoni.
 
Vizuri umetolea maelezo kwamba hawavai hereni wala vikukuu lakini ni manjemba yamekata na yapo gym, sura za kazi foward hazipiti, lakini sasa washaaga ubigwa wanapumuliwa kisogoni.
Na wanahemewa mgongoni, mfano Afande rama, chipo kidali, na dereva boda.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uandishi wako wa twa na sie dah unatia ukakasi
 
Na wanahemewa mgongoni, mfano Afande rama, chipo kidali, na dereva boda.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili lipo sana afu sie wavaa hereni wala ushoga hatutaki kuusikia....ishu ni usmart tu wala sio ushoga.
 
Uandishi wako wa twa na sie dah unatia ukakasi
Hiyo ni nakshi kwenye lugha mwamba mbona Rais wako mstaafu alipenda kutumia sie na twa.....hujasoma kiswahili nini huko shuleni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…