Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Uko sawa lakini itategemea na shughuli yenyewe unayoivalia suit..mfano kama ni harusi..hizo colour ni common sana na wala haziwezi kudraw attention ya watu...unaweza kuvaa black ktk harusi yako, ukajikuta umevaa sawa na wanakamati wako maana asilimia kubwa ya watu wanakimbilia black suit sababu kubwa ikiwa ni kuwa huru na kuonekana rasmi tuu kama mtu aliyevaa suit lakini haikuletei usumbuf wa watu kukutupia macho mara kwa mara na mara nyingine watu wanaogopa kuvaa rangi zinazovuta macho ya watu coz wanaogopa kuambiwa wamepania sherehe za watu...
.
.
Lakini kama ww ni bwana harusi unatakiwa uangalie rangi ambazo hata mkiwa na mpambe wako mtakuwa mmevaa tofauti angalau kidogo na waalikwa...
Umeseme nilichotaka kusema.
 
Binafsi nadhani inakufaa. Valia na shati jeupe ama light blue. Sijui ndio nagoma kuzeeka, I think suti bila tai inakuwa poa zaidi. Usisahau killer leather shoes, Brown especially so that everyone would notice[emoji12] [emoji12]
Mkuu Asante Brown shoes is my favorite color Asante sana ushakuwa designer wangu by default
 
Dark Blue Au Navy Blue Ndo Poa. Au Kama Ni Black Bas Ndani Shirt La Light Blue Au Pink,Ila Sio Jeupe.Sio Msuti Mweusi Na Mshat Mweupe Kila Siku Kama Meneja Wa Baa!!
 
b009a4c8c0337154c1cb58624d61ad52.jpg


a6f8d2cc85961cc6e99c8040fe7c4488.jpg


ac145d040c7b5fd93dc59a5f4e82f524.jpg
 
Walimu vijijini walikua wakinipigia suti za kijani,damu ya mzee,nyekundu njano halafu oversize na anapima kiuno tu chini fundi anakadilia
 
Yaani napenda mwanaume kwenye suti ila aaizidishe uvaaji wa suti kama Idriss Sultan...
Paprika ,,... Been meeting you kila kona more often than normal.. Wondering what fate could be having for us in store.. [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom