Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Hahahaha,. Mbn unaweka vipengele ndio tatizo la watu wa humu, MTU akionesha nia ndio mnazidi kumpuuza
Chukulia rahisi tu mkuu maisha ni kuchagua.

Utaendekeza nia za watu wangapi humu😅😅tutakutana huko mtaani huku ni kujifurahisha kwa miandiko tu😅😅

Eti ndo tatizo la watu humu🤣🤣kumbe tunafanana e🤛🎶🎶🎶
 
Typing error mkuu..

Mwanaume kamwachia simu mchepuko mkuu..kwahiyo hata wife akimtxt mumewe,,mchepuko anaona kwanza ndipo ampe bwana [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Manina wallah[emoji26][emoji26]
Khaaaaa huyu mwanaume kashakula limbwata, mpaka simu kaacha kwa mchepuko????
 
Hata mimi ni hivyo hivyo naomba mkiwa mnamuombea huyo na mimi na kaka Mayala tuombewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom