Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Aiseeeh..kazi ipo wallah

Yani ndugu yangu sehemu za siri zikishaenda kwingine ndo basi tena mme huna!

Na huwa wanajitahidi sana Kuwa Furahisha na hata kuwawekea dawa!

Ukitaka kutunza ndoa haswa, pamoja na yote unayofundishwa hakikisha mume anakuitaji ki mapenzi
 
Ww upo radhi tatizo wengine hawaridhii hilo
Hatutaki kukubali kirahisi kwa kuwa ukiliruhusu hilo dharau zitazid.

Cha msingi heshimu familia aise
Tukileteana maumivu ya makusudi kabisa moyo ukichoka..tukio utakalokula hutaamini kama ulikuw unaishi na binadamu..

🤣🤣🤣ukimuangalia unasema eheee..mwanakulifind


Heshima na familia yako ni jambo la maana mno🥂🥂
 
Back
Top Bottom