Cheef Baroka
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 491
- 1,010
Hivi huyo dada anayetembeza simu ya mme wa mwenzie kuwaonesha watu picha za utupu wa mwanamke mwenzake hawazi kwamba mwanaume huyo kama kaweza kumpiga picha mkewe alomlipia mahali akala na kiapo ipo siku atakuja mpiga nayeye akamtangaze kwa demu mwingne atakae kuwa nae kipindi hicho?
Ila wanawake viumbe wa ajabu. Yeye hafkirii kua hata huyo mke anaedhalilishwa hivyo naye alipendwa tena huenda hata zaidi ya anavyopendwa yeye sasa. Hamfikirii kuwa kama mwenzie amechokwa yeye vipi hatima yake?
Kwa picha ya haraka haraka huyo jamaa sio wakumchekea leo kamfanyia mkewe kesho hatujui atamfanyia nan