STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Jul 23, 2020 #241 Chakorii said: Zichukue Click to expand... [emoji39]
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Jul 23, 2020 #242 Chakorii said: Sio wanne tu mkuu..oa hata wa wilaya nzima kama sio mkoa.cha msingi ni nidhamu kwa familia yako Click to expand... Ww upo radhi tatizo wengine hawaridhii hilo
Chakorii said: Sio wanne tu mkuu..oa hata wa wilaya nzima kama sio mkoa.cha msingi ni nidhamu kwa familia yako Click to expand... Ww upo radhi tatizo wengine hawaridhii hilo
Petro Oswald JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 2,382 Reaction score 1,881 Jul 23, 2020 #243 Analyse said: Aweke picha Click to expand... [emoji28][emoji28]
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Jul 23, 2020 #244 Chakorii said: Aiseeeh..kazi ipo wallah Click to expand... Yani ndugu yangu sehemu za siri zikishaenda kwingine ndo basi tena mme huna! Na huwa wanajitahidi sana Kuwa Furahisha na hata kuwawekea dawa! Ukitaka kutunza ndoa haswa, pamoja na yote unayofundishwa hakikisha mume anakuitaji ki mapenzi
Chakorii said: Aiseeeh..kazi ipo wallah Click to expand... Yani ndugu yangu sehemu za siri zikishaenda kwingine ndo basi tena mme huna! Na huwa wanajitahidi sana Kuwa Furahisha na hata kuwawekea dawa! Ukitaka kutunza ndoa haswa, pamoja na yote unayofundishwa hakikisha mume anakuitaji ki mapenzi
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,773 Reaction score 51,429 Jul 23, 2020 Thread starter #245 Rhz4567 said: Ww upo radhi tatizo wengine hawaridhii hilo Click to expand... Hatutaki kukubali kirahisi kwa kuwa ukiliruhusu hilo dharau zitazid. Cha msingi heshimu familia aise Tukileteana maumivu ya makusudi kabisa moyo ukichoka..tukio utakalokula hutaamini kama ulikuw unaishi na binadamu.. 🤣🤣🤣ukimuangalia unasema eheee..mwanakulifind Heshima na familia yako ni jambo la maana mno🥂🥂
Rhz4567 said: Ww upo radhi tatizo wengine hawaridhii hilo Click to expand... Hatutaki kukubali kirahisi kwa kuwa ukiliruhusu hilo dharau zitazid. Cha msingi heshimu familia aise Tukileteana maumivu ya makusudi kabisa moyo ukichoka..tukio utakalokula hutaamini kama ulikuw unaishi na binadamu.. 🤣🤣🤣ukimuangalia unasema eheee..mwanakulifind Heshima na familia yako ni jambo la maana mno🥂🥂
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 8,435 Reaction score 6,476 Nov 14, 2024 #246 Pole sana