Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Wow, pole na sahau yaliyopita! Wengine sisi tunapenda baki kwenye Lani huko kwingine makorogesheni lanasababisha kwichikwichi nyingi ambayo matengenezo yake ni gharama kubwa Sana! Kubakia kwenye Lami ndio mpango mzima japo Nako kwenye Lami saa zingine wanaweka ma speed bump kwa kukomoana!

Niliyasahau ila jana nilijikuta nakumbuka.

🤣🤣🤣 wacha wee
 
Ni mke wa ndoa kabisa na mtoto ni wa kwao huyo mme na mke..sijui kakumbwa na nini jaman..

Mke anasafari ndefu mtoto ndo kwanz ana week kadhaa tu..
Huyo mwanaume hana akili kabisa yaani mke ndiyo kajifungua badala yakukaa na mkewe kwa furaha ya baraka waliopewa na mwenyezi Mungu, badala yake anakuwa kirukanjia, nazani kichwa chake kimejaa matope, yaani nampa pole huyo mkewe, anachokitafuta atakipata tu huko!
 
Haya ni matokeo ya wanaume wasio na akili kujiona nao wanastahili kuoa. Jamani ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Mwanaume yeyote anayesaliti ndoa yake hana akili na hajiheshimu. Usitarajie lolote jema kwa mwanaume wa aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mithali 6:26 Kwa maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32: Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa: afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33: Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
 
Mke ndye anayeweza kujenga ndoa au kubomoa hivyo mke ukiwa legelege hadi vyipi vyako atapelekewa mchepuko
 
Tena ni matope kabisa yale yanayohifadhi kambale😏😏pumbavu zake.
 
Haya ni matokeo ya wanaume wasio na akili kujiona nao wanastahili kuoa. Jamani ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Mwanaume yeyote anayesaliti ndoa yake hana akili na hajiheshimu. Usitarajie lolote jema kwa mwanaume wa aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
💯👌
 
Mithali 6:26 Kwa maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32: Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa: afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33: Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
👏👏👏👏kwa mistari mitakatifu.kweli.
 
Mke ndye anayeweza kujenga ndoa au kubomoa hivyo mke ukiwa legelege hadi vyipi vyako atapelekewa mchepuko

Unafikiri haya anayoyafanya mkewe anayajua!!hajui chochote maskini ya Mungu
 
Mithali 6:26 Kwa maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32: Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa: afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33: Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
Amen[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nawewe dada uwe unaenda salon za kilokole,sasa we unaenda hizi za changanyikeni ulitegemea nini?? next time usifanye hivyo,na kama ukirudia basi uwe mpole tu. ila asante kwa taarifa,umeuza siraha kwa adui
Mimi mwenyew wa changanyikeni mkuu.

Haya hongera kapigane vita mkuu
 
Dada nimekuja pm naomba unipokeee

Nimekwambia useme shida yako na husemi..unataka nikubembeleze??

Kama unaweza sema shida yako hapa itakuwa vizuri zaidi👏
Na kama ni PM nenda kwenye hoja moja kwa moja.👏
 
Vita ni vita tuu mulaa...ohh mura

Tutawachepukia had akili iwakae sawa...

For no reason yan...hivo yani
 
Back
Top Bottom