Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #101
Hakika mkuu umenena vyema🥂🥂Moja ya sifa ya mwanaume kama kichwa cha familia ni kukabiliana na kutatua changamoto zinazoikabili ndoa yako na familia yako kwa ujumla!
Tukio la kutoka nje ya ndoa na kuweka wazi mambo yake nyeti ya ndoa ni alama kuwa huyo mwanaume hajakomaa kiakili na hakupaswa kuoa achilia mbali kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi!
Nb;
ni wavulana pekee ndio wanawaza kuwa muunganiko wa ndoa ni kwa ajili ya ngono pekee!