Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Sio kweli mkuu..
Kama kibamia ni kitamu ni kiko vizuri panapo husika kwanini kikatangazwe..

Cha msingi utamu tu maana unaweza kuwa na lijihogo kumbe halina maajabu(si litamu)
Hapa Sasa umezungumza

Huyo bidada atulie tu endelea kumfatilia atakuja pata pigo takatifu ye na bwana ake mpaka wafurahie
 
Hapa Sasa umezungumza

Huyo bidada atulie tu endelea kumfatilia atakuja pata pigo takatifu ye na bwana ake mpaka wafurahie
Nitamfuatilia huyu na wallah nauona mwisho wake ulivyom’baya..

Hakuna kitu kibaya kama kujeruhi moyo wa mtu kwa makusudi kabisa bila huruma.

Kulikuwa kunamaana gani ya kumwachia mchepuko simu ukijua fika kuna mzazi nyumbni lazima atahitaji kuwasiliana na wewe.

Mchepuko ndo wenye kuamua sms ipi ya wife mume asome kweli!!!hapa aise😔😔😔
 
Nmeumia Sana basi tu, ila wanaume hawa
Yani mimi nimeumia maradufu aise..mpka sasa..
Imeurudisha moyo wangu katka ghadhabu ya muda mrefu😫😫😫😫sijui kwanini nilikutana na kitu kile jana😔😔😔😔

Nitarudi katika hali ya kawaida nikisikia kabigwa chini.
 
Kikubwa Nikila mtu ashinde mechi zake. Manake ukisikia visanga wanavyopitia wanaume walio fulia au wanaume wanaosalitiwa nivikubwa kuliko hayo
 
Nitamfuatilia huyu na wallah nauona mwisho wake ulivyom’baya..

Hakuna kitu kibaya kama kujeruhi moyo wa mtu kwa makusudi kabisa bila huruma.

Kulikuwa kunamaana gani ya kumwachia mchepuko simu ukijua fika kuna mzazi nyumbni lazima atahitaji kuwasiliana na wewe.

Mchepuko ndo wenye kuamua sms ipi ya wife mume asome kweli!!!hapa aise😔😔😔
Inatia uchungu Sana ila waisubiri Ile kitu ya kuitwa karma
 
Inatia uchungu Sana ila waisubiri Ile kitu ya kuitwa karma
Uchungu mnoo..
B9413CC3-0737-4563-8754-25A700BFD48E.jpeg
 
Ukomo wa hili ni pale wanawake watapoweza kuweka fedha pembeni na kutambua tofauti kati ya mwanaume na mvulana!

Ni pale watakapojua kuwa uanamume kamili hauishii tu kwenye kuvaa suruali na kuwa na ndevu tu!!

Kilichomkuta kibeku na ungo kitamkuta!
 
Tatizo ni kwamba mnaturoga sanaaa,akili zetu mnazifanya skrepa, matokeo yake ndiyo Kama hayo!

Ungekuwa umefanya jambo la maana sana kama ungemkanya na kumshauri huyo mchepuko uache kuindoa akili za mwanaume wa watu

Mkuu kama umeusoma uzi kuna sehemu nilisema kuwa uzalendo ulinishinda ikabidi nizungumze nae..lakin betina yule alinipa majibu nikakalisha flat screen chini.sasa umeelewa.

Hivi kwani...ukimfuata mwanamke kwa matamanio yako akagundua unafamilia na ukampiga marufuku kuingilia familia yako,tena ukawa mkali na kuweka mipaka kati ya mchepuko na familia nini kitatokea??jibu na hapana tena mchepuko lazima akuogope.hawezi ichezea familia yako makida makida.mambo mengine mnayatengeza ninyi wanaume wenyewe🥺🥺🥺
 
Ukomo wa hili ni pale wanawake watapoweza kuweka fedha pembeni na kutambua tofauti kati ya mwanaume na mvulana!

Ni pale watakapojua kuwa uanamume kamili hauishii tu kwenye kuvaa suruali na kuwa na ndevu tu!!

Kilichomkuta kibeku na ungo kitamkuta!
Ohooo jamani....si ajabu hajui kuwa kama mumewe anafanya huyo ufirauni aiseh.

Ni changamoto lakin za maisha.maombi yangu ni kwamba asije akagundua chochote kipindi hiki cha uzazi 🥺🥺
 
Typing error mkuu..

Mwanaume kamwachia simu mchepuko mkuu..kwahiyo hata wife akimtxt mumewe,,mchepuko anaona kwanza ndipo ampe bwana [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Manina wallah[emoji26][emoji26]

kmmmk afe kipa afe bek there is no way nikamwachia mtu simu yangu, no way kabisa. Alafu there is no way nkamsimulia side piece issues za my main squeez...OVA..
 
Ukomo wa hili ni pale wanawake watapoweza kuweka fedha pembeni na kutambua tofauti kati ya mwanaume na mvulana!

Ni pale watakapojua kuwa uanamume kamili hauishii tu kwenye kuvaa suruali na kuwa na ndevu tu!!

Kilichomkuta kibeku na ungo kitamkuta!
Ohooo jamani....si ajabu hajui kuwa kama mumewe anafanya huyo ufirauni aiseh.

Ni changamoto lakin za maisha.maombi yangu ni kwamba asije akagundua chochote kipindi hiki cha uzazi 🥺🥺
 
kmmmk afe kipa afe bek there is no way nikamwachia mtu simu yangu, no way kabisa. Alafu there is no way nkamsimulia side piece issues za my main squeez...OVA..

🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺sijui huyu mwenzenu ni nini kimemkuta aiseh..huu ni utupolo wa hali ya juu kabisa
 
Ukomo wa hili ni pale wanawake watapoweza kuweka fedha pembeni na kutambua tofauti kati ya mwanaume na mvulana!

Ni pale watakapojua kuwa uanamume kamili hauishii tu kwenye kuvaa suruali na kuwa na ndevu tu!!

Kilichomkuta kibeku na ungo kitamkuta!
Hapo umenena!
Wakati ukuta
 
Mkuu kama umeusoma uzi kuna sehemu nilisema kuwa uzalendo ulinishinda ikabidi nizungumze nae..lakin betina yule alinipa majibu nikakalisha flat screen chini.sasa umeelewa.

Hivi kwani...ukimfuata mwanamke kwa matamanio yako akagundua unafamilia na ukampiga marufuku kuingilia familia yako,tena ukawa mkali na kuweka mipaka kati ya mchepuko na familia nini kitatokea??jibu na hapana tena mchepuko lazima akuogope.hawezi ichezea familia yako makida makida.mambo mengine mnayatengeza ninyi wanaume wenyewe[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Hayo yote ni kwa mwanaume aliye na akili zake kawaida,ila MKISHATUROGA tunasubmit kuanzia akili mpaka pesa zetu...
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]sijui huyu mwenzenu ni nini kimemkuta aiseh..huu ni utupolo wa hali ya juu kabisa

Ujue wengi wanaingia kichwa kichwa wanawake wanawaendea kwa mganga, na mostly of them hawapo open kwa rafiki zao sababu at least angsimulia mtu habari zinazoendelea na huyo side chick wake huyo mtu angekuwa eye opener wake, manake wanaume huwa sio wanafiki...Honestly speaking jamaa kazingua big time, watu tuna siri za wanawake tulowah kutembea nao na hatumwambii mtu na tutakufa nazo yan sio poa sana aisee
 
Back
Top Bottom