Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Hivi PM huwaga ni wapi vile? Maana Kila Mara naona ni PM!Unaweza kunichek PM? Nina kaujumbe kako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi PM huwaga ni wapi vile? Maana Kila Mara naona ni PM!Unaweza kunichek PM? Nina kaujumbe kako
Yani ni fala sana aiseh..haiwezekan hata kidogo..huyo mwanaume mshamba aliepata mdangaji w mjini akapewa vitu hajawahi kupewa ndio maana anatoa siri za mke wake!mwanaume wa mjini kitambo anaejielewa hawezi kuwa hivyo!huyo jimboni kwetu huku kiumeni tumemshakata kwenye kura 600 amepata 1 aliejipigia mwenyewe
Huyo atakuwa choko tu lakini Mungu hamfichagi mnafiki huyo mke atazipata na hao vipanga wataumbuka, kwahiyo ananyanyasika sababu ya kunyonyesha kwani huyo mtoto si wamezaa wote mbwa kabisa tena alikatwa mkia kama wale wanaohama vyamaYani ni fala sana aiseh..haiwezekan hata kidogo..
Sijui kapewa nini na kile kibetina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sasa mkewe ni mzuri mno kuliko huyo mambo wa nchi kavu.kisomali kizuuuri chenyewe [emoji8][emoji8]kina weusi mtamu balaa..
Hakika wanaume hawawezi ridhika hadi ukamilifu wa dahari
Mbona una hasira naye Sana?Kwa majigambo yalee..ana bahati hakatizi vichochoroni..mamangu mwanamke ningemtia loba matata sana asiamini🤣🤣🤣🤣nyambaaaafu
Uliposema umetia gufuli ulimaanisha saumu au?Mi mwenywe sipajui mkuu
Miaka kama sita iliyopita nilipitia kwenye mahusiano ambayo Ex-mwamba alikuwa akitoa baadhi ya mambo yetu kwa huyo local chic wake😫😫😫it pains to say walah😭😭😭😢😢😢Mbona una hasira naye Sana?
Ni mke wa ndoa kabisa na mtoto ni wa kwao huyo mme na mke..sijui kakumbwa na nini jaman..Huyo atakuwa choko tu lakini Mungu hamfichagi mnafiki huyo mke atazipata na hao vipanga wataumbuka, kwahiyo ananyanyasika sababu ya kunyonyesha kwani huyo mtoto si wamezaa wote mbwa kabisa tena alikatwa mkia kama wale wanaohama vyama