Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

huyo mwanaume mshamba aliepata mdangaji w mjini akapewa vitu hajawahi kupewa ndio maana anatoa siri za mke wake!mwanaume wa mjini kitambo anaejielewa hawezi kuwa hivyo!huyo jimboni kwetu huku kiumeni tumemshakata kwenye kura 600 amepata 1 aliejipigia mwenyewe
 
mwanaume anaetoa siri za ndani kwa mchepuko huyo sio riziki, pia uliposema kalio tu abdallah kichwa wazi alianza kunesa nesa huenda alidhani upo karibu yangu...
 
Huyo jamaa he is just a boy a respected man will never do that shame on him
Labda pengine si akili zake😥😥labda lakni maana katika hali ya kawaida haiwekani kabisa huu upuuzi.

Na mtu mwenyewe ukimuona huwezi dhania aisee..
 
Hata mimi ni hivyo hivyo naomba mkiwa mnamuombea huyo na mimi na kaka Mayala tuombewe

BBasi mnahitaji maombi ya usiku na mchana tena ya kugaragara chini haki tena😅😅
 
Back
Top Bottom