Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Huwa tuna-left kwa upole. Makeke tunaachia ngedere. Hilo analo. Ameishi na waswahiliswahili hadi anadhani hapaswi kuwa na siri wala privacy. Si kweli! Kuna mengine kufa nayo tu. Kwani shing ngapi kwa bei ya Kitanzania kufa nayo?Mijeredi yake punda tu, binadamu ukichoka ni kuleft kama Tina a.k.a ze mchungaji
Hatari sana.Atatumika uzeeni awe abundoned old bundle!Tina malaya tu mzee wa watu kaishajichokea anapiga komoko labda,kaonjeshwa mjegeje wa domo wa tandale kaamua kuvunja ndoa
Mkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.Tina malaya tu mzee wa watu kaishajichokea anapiga komoko labda,kaonjeshwa mjegeje wa domo wa tandale kaamua kuvunja ndoa
Wanawake hatukuumbiwa kufa nayo bro..... Kufeni nayo nyie wenye vikoromeo kama vifilimbiHuwa tuna-left kwa upole. Makeke tunaachia ngedere. Hilo analo. Ameishi na waswahiliswahili hadi anadhani hapaswi kuwa na siri wala privacy. Si kweli! Kuna mengine kufa nayo tu. Kwani shing ngapi kwa bei ya Kitanzania kufa nayo?
Mwanamke ni kiumbe hatari sana akifanikiwa hamtaki tena mwanaume aliyemwinua.Endeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
Mizigo gani aliyoigundua baada ya miaka 20,kuna mtu kampelekea moto haswaa akaona haya ndio maisha,Tina, Tina,TinaMkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.
Malaya kisa kachoka kubeba mzigo? Kwahiyo aendelee kuteseka ili mumuone malaika??? Acha aishi apendavyo.....
Unapaswa uji-switch kimtindo kuendana na ngoma za maswezi.Have a trial!Kukataa kujaribu ni kushindwa kuikimbia aibu.Wanawake hatukuumbiwa kufa nayo bro..... Kufeni nayo nyie wenye vikoromeo kama vifilimbi
No,no,no nooo!Hatumtafuti malaika.Tunamuhitaji mtu mzima wa mwili na akili anayeweza kuyakabili mazingira bila tafrani.Mkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.
Malaya kisa kachoka kubeba mzigo? Kwahiyo aendelee kuteseka ili mumuone malaika??? Acha aishi apendavyo.....
Bwana weeeee kama una uwezo wa kuyakabili yakabili tu hadi yakuuwe, kama ana uwezo wa kuyabwaga....ayabwage tu aitafute amani na furaha.No,no,no nooo!Hatumtafuti malaika.Tunamuhitaji mtu mzima wa mwili na akili anayeweza kuyakabili mazingira bila tafrani.
"Men are from mars, women are from the venus" kasome hicho kitabuUnapaswa uji-switch kimtindo kuendana na ngoma za maswezi.Have a trial!Kukataa kujaribu ni kushindwa kuikimbia aibu.
Sasa kama miaka 20 hajapelekewa moto vizuri huoni huo ni mzigo bro 😂Mizigo gani aliyoigundua baada ya miaka 20,kuna mtu kampelekea moto haswaa akaona haya ndio maisha,Tina, Tina,Tina
Kaongea kiudhalilishaji na shutuma kuanzia kwa wazazi wake,familia yake,ukoo wake,jamii yote hususani akina mama.Ndoto gani unazozitimiza wakati umeshatoka kulala?The day dreams?Ungeeleza anataka kufanya matamanio yake,sawa.Kwani kufanya kimyakimya hawezi?Ajifunze uzeeni kuongea na kujibu maswali ya kiudaku.Anakwama big time!Bwana weeeee kama una uwezo wa kuyakabili yakabili tu hadi yakuuwe, kama ana uwezo wa kuyabwaga....ayabwage tu aitafute amani na furaha.
Btw kuna kingine kaongea zaidi ya "nimeachana na mme wangu ili nitimize ndoto zangu"????
Bado mmeshindwa kuishi Rome.Mtapata tabu na kuchakaa sana."Men are from mars, women are from the venus" kasome hicho kitabu
Aiseee sisi ni viumbe wawili tofauti kabisa, ndio maana kukaa wote tunastrago sana....hata mbinu zetu za kukabiliana na changamoto ni tofauti kabisa.
Nasimama na Tina tumetoka sayari moja, nyanya etu ni Lilith 🤣🤣
Kuna watu ndoto hazitimii kisa ndoa, kama nae ni mmojawapo.....uamuzi wake ni sawa.Kaongea kiudhalilishaji na shutuma kuanzia kwa wazazi wake,familia yake,ukoo wake,jamii yote hususani akina mama.Ndoto gani unazozitimiza wakati umeshatoka kulala?The day dreams?Ungeeleza anataka kufanya matamanio yake,sawa.Kwani kufanya kimyakimya hawezi?Ajifunze uzeeni kuongea na kujibu maswali ya kiudaku.Anakwama big time!