Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nyie mmeweza??? ππBado mmeshindwa kuishi Rome.Mtaoata tabu na kuchakaa sana.
Sio wote tunajua kinachoendelea kwani huyo jamaa kufanyiwa udhalilishaji upi?Nadhani mzee Shusho angejitokeza kukanusha madai ya mkewe! Lakini najua kwa busara yake hawezi kukubali kulumbana na mkewe kwenye media! Itakuwa kumpa kichwa Shetani!
Eti mrembo kwani shusho kaongea kitu gani?Nondo mbili na cement mifuko 3 kutoka kwangu kwa ajili ya ujenzi wa sanamu la Christina....
Naomba kuwasiliasha.
Too much is a silently killing poison coz anything under this world is wisely to be done by average scale, but why in the past twenty years of her marriage she didn't announce any internal marriage issues such as she was undergoing gender victimization from her husband in these social media platforms till they became separated at this current moment?Kuna kipi cha kuua hapo?
Mpuuze mwanamke mpuuzi huku ukisonga na maisha yako.
UTADUMU!
shukuru ni shetani wa kike angekuwa wa kiume angesumbua zaidiππYule mwanamke ni shetani wa kike!
Upole au ukali si kigezo cha Mume au Mke mwema lakini vyote huendana kwa pamoja kwa Me ktk kuishi na kiumbe Ke kwenye mahusiano yoyote.Dah mume wake mpole mwenyewe
Kizuri huwa hakijitangazi kamwe, nadhani hakufikii hata robo tu ya uzuri wako Mtani [emoji28]Si nyie ndo mnampa bichwa..kwamba lishangazi lizuri jamani...
Achana na maisha ya watu?Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.
Kwani mkuu huyo shusho kafanya udhalilishaji gani? Mbona mnatuacha njia panda kwa sisi ambao hatujui kinachoendelea mitandaoni@mdukuzi ,kweli bwana,we die premature because of these kinds of women,kwasasa. Mzee SHUSHO anaonekana kichekesho ila angekua amefanyiwa Tina basi dunia yote ikiwemo wanaume wangeandamana kumtetea Tina,dunia ya sasa nikandamizi kwa mwanaume tena haina huruma namwanaume chakushangaza ,hadi wanaume tunajipendekeza nakushangilia alichokifanya Tina badala ya kupigwa vita hadi ajutie,media zinajaribu kutetea uzinifu wake,namakosa yakena nakuhalalisha alichokifanya as if nitabia njema Ktk jamii.eti tu kisa nimwanamke mwenye matako daahh????!!!!
Kuacha au kuachwa ni tafsiri ya watazamaji tulio nje tu.Ukweli anao yeye na "mumewe" walipokuwa kwenye kuta za chumba chao.Kwa Msiojua Shusho Kaachwa.Hajaacha.NDOA imemshinda SO Hapo alipo bado ana wenge la TALAKA.Ananikumbusha Stori za Flora Mbasha.
SaddistYule mwanamke ni Savage
Ni aina ya watu wanaofurahia kuumiza wengine
Anyway hope mzee hajishughulishi na mitandao maana hiyo ndio huwa chanzo Cha maumivu
Kuna ka kujifunza hapa. Haya ndiyo madhara ya wazee kuoa mabinti wadogo ambao wakishindwa kuwapelekea moto ipasavyo, huwakimbia na kuwafuata vijana wenzao wanaoweza kuwadinya sawasawa.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.