Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Huyo msanii mkubwa anampa kichwa
 
Nikajua tu ni mimi sijui kinachoendelea!! Yanawatoooka ila hakuna anayesema ni udhalilishaji gani kafanya zaidi ya kuongea hisia zao na kutoa stress zao[emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huko nje ni kubaya....
Wanaogopa..
 
Mkuu
Huu ndo unaitws uchimvi na ukuda. Mhusika mwenyewe kapiga kimya sijui nini kinatusogeza kuingilia mahusiano yaliyovunjika?

Karma huwa haimuachi mtu. Kimya bin kimya matokeo huja
 
Mwanaume aliyepita jando hapigizani kelele na mwanamke hadharani hivyo mzee ameshavuliwa nguo ndio amechutama hivyo unataka afanye nini atengeneze habari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…