Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Jide akatulia😀Na alipigaga kwelikweli.... Nchi ikatikisika.... Ilikuwa sentensi Moja TU nzito...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jide akatulia😀Na alipigaga kwelikweli.... Nchi ikatikisika.... Ilikuwa sentensi Moja TU nzito...
Mwenyewe hapa nasubiri kuona tukijibiwa...Maana bado sielewi[emoji28]Eti dada kwani udhalilishaji gani umefanyika? Maana sio kwa haya maandamano[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahahaMwenyewe hapa nasubiri kuona tukijibiwa...Maana bado sielewi[emoji28]
Kwakweli Tina mitano tena🤣🤣🤣Mwenyewe hapa nasubiri kuona tukijibiwa...Maana bado sielewi[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwakweli Tina mitano tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chochote alichofanya, basi ashikilie hapo hapo.
Wanasema ukiona mwenzio ananyolewa zako tia majiYani Tina kaongea kidogo tu, wanaume kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuanzisha maandamano 🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa.... Maneno yalikata.... Wanaume Huwa wanashusha nyundo Moja tuu....Jide akatulia😀
Yeye mwenyewe kathibithisha. Sasa kama mtu analala na kuamkia kwa Dangote kuna nini zaidi ya kudinywa au mpaka azalishwe ndipo muamini?Kwa hiyo imethibitishwa kuwa Tina ni mali ya Dangote? 😁
Ukimuona mtu mkimya ujue yupo mature Sana,,, kongole kwakeKuna sababu why amekaa kimya, sometimes it for the best. Nature inatuasa kuto kulazimisha
Nimeipenda hiiUkimya nao ni jibu tosha. Ukishindana na mjinga nawe unakuwa mjinga.
Mtu akiamua kukusema, kaa kimya na ukitaka kuongea simulia mazuri yake. Ndilo jibu lenye nguvu duniani
Na huo ndio utu uzimaUkimuona mtu mkimya ujue yupo mature Sana,,, kongole kwake
Kwa uzuri ni kweli jimama linatosha.Si nyie ndo mnampa bichwa..kwamba lishangazi lizuri jamani...