Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Yani Tina kaongea kidogo tu, wanaume kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuanzisha maandamano 🤣🤣🤣🤣🤣
Wanasema ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

Wanaume hatuwezi kukaa kimya wakati Mzee Shusho anaendelea kusimangwa Kila Kona ya Nchi tena na mtu ambaye alikula naye kiapo cha shida na Raha/ugonjwa na taabu 🤗

By the way, naomba ulete Maji tuzime huu moto badala ya Petroli

Muonee huruma Mzee Shusho 🤗
 
Mungu anasema ni viumbe dhaifu!

Midomo yao ndiyo silaha zao.
 
Kwa hiyo imethibitishwa kuwa Tina ni mali ya Dangote? 😁
Yeye mwenyewe kathibithisha. Sasa kama mtu analala na kuamkia kwa Dangote kuna nini zaidi ya kudinywa au mpaka azalishwe ndipo muamini?
 
Wanawake wamezidi kashfa kwa wanaume na kukejeli taasisi ya ndoa, sishangai mauaji yanayoitwa wivu wa mapenzi kuongezeka.
 
Anayejidhalilisha ni huyo mwanamke. Mume inaonekana hana tabu naye, Jina lenyewe anatumia la mume.
 
Mwanamke akiwa introduced na rojo (rost maini) anachanganyikiwa na hasikii kabisa na mondi unaambiwa ndio michezo yake..hakua na namna
Lazma angemuacha mzee...maana mlokole wa ukweli hali tigo..!
 
Back
Top Bottom