Wanaume tupeni majibu sahihi kwanini mnapenda kuwachumisha wengine dhambi?

Chanzo kiubwa cha wakina baba kutelekeza familia ni hao hao wanawake. Kwani anapotelekeza sehemu moja ujue kuna sehemu nyingine anahudumia.

kwa hivyo wanaume akili za kuamua huwa hamna khah!
 

tukikaa kimya tuna viburi.
hivi Mtu atapiga kelele from nowhere?
kama unamkwaza anakwambia haumuelewi akae kimya ama nae akuachie familia aondoke?
wanaume nyinyi!
 
Last edited by a moderator:


Tatizo ni kwa wale wanaokimbia hata kulea hawataki hao ndio shida, lakini kama mtu anawajibika hapo hamna tabu kabisa.
 

Kaka bora hata wewe unanielewa hila hivi viumbe. Ningekua nipo huko kwanza mtoto asingetoka lakini kwa kuwa sina namna nimeamua tu kuwacha yaendelee. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba mtoto atakua mzembe atapata malezi ya hovyo kwa ----- yule ambaye hajui hata mtoto anahitaji nini? Yeye anaona kumchukua mtoto ananikomoa kumbe anamuumiza mtoto
 

Huyu mzazi mwenzio mnakaa mjini mmoja kma ndio tafuta shule umlipie mtoto pia usiache kutoa matumizi y mtoto wko
 

Mkuu Manuu nasoma baadhi ya post juu ya wadau naona wanabase juu ya hisia flani ama wanalibeba kihisia tuu. Maana mtu hawezi kurupuka na kufanya huo upuuzi bila kuwa na sababu, wanawake wamekuwa ni zaidi sumu sasa katika ndoa zilizo nyingi. Mimi nasem mpaka mwanaume afanye ivyo kuna side B yenye iffect sana imagne amegombana na mwanamke then mwanamke anamropokea we nawe mwanaume unajiaminishaje kwanza flani ni mwanao?. Japo swali kama hilo atalisema akiwa na hasira je unafikir kwa mwanaume linachukua nafasi gan? Akikusanya na tabia nyingine za kutokuwa mwaminifu hapo nyuma labda kufaham mwenzake anachepuka unafikiri nn kinaenda kutokea? Jaman kila kitu kinatokea kukiwa na sababu za msingi za kukifanya kitokee.
 

Ni dhambi kubwa sana ukishindwa kumfanyia wema ndugu wa damu kuanzia mume/mke,dada/kaka,mama/baba,wifi/shemegi,bamkwe/mamkwe ,shangazi/mjomba n mtoto, hata km awe amekuudhi kiasi gn,basi ww mfanyie wema n ihsani,mwisho mwenyewe ataona aibu kwa alokutendea baada ya ww kumfanyia wema
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa hata kama kosa ni kubwa kiasi cha kutosameheka sidhani kama ni sahihi kuacha familia. Mimi huwa nasema hata iweje sitaruhusu mwanangu aumie kwa sababu ya mwanamke. Nifanya kila kilicho katika uwezo wangu kuhakikisha wanangu wanakuwa katika hali nzuri. Na hii wapo wanaume wengi tu wanafanya.
 
jamani Tamatheo kweli umesema kitu kigumu sana apa, mie iyo inayoitwa limbwata hivi halimuachii huyo mbaba akili ata kidogo ya kuona watoto na mkewe kwamba ni watu na wanamuhitaj?

nimeipenda hii ya wengine walipaswa kuumbwa kuku waruke kila uchao
Bora usilijue hili liitwalo limbwata maana limeharibu familia nyingi.... Ila kikubwa ni nguvu za mungu ambazo hazishindwi popote.
 
Sifa ya kiume sio kurudia matapishi yako...

hiyo sio sifa mbona wengi wanarudi kwa magoti kwa familia walizoziacha mi naona sifa ya binadamu si kurudia matapishi kama wewe mama uliachwa hakuna haja ya kumpokea mtu na kama wewe baba uliachwa au kuachwa hakuna haja ya kurudi nyuma kwani maisha ni kwenda mbele na si kurudi nyuma
 

mmmh akya nnai tena hawa wababa wanajuaga kuchumisha dhambi wenzao
imagine eti anakuacha unatesema afu mwishon anakuijia eti kutafuta huruma yako
 
Bora usilijue hili liitwalo limbwata maana limeharibu familia nyingi.... Ila kikubwa ni nguvu za mungu ambazo hazishindwi popote.

ilo limbwata muda mwingine tunalisingizia,
ivi wanawake wao hawapewagi ilo limbwata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…