Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Sisi Wazee tumebaki kushuhudia mnayopitia, maana enzi zetu Pesa haikuwa sehemu ya hitaji la Mwanamke kukupenda.

Ili Mwanamke avutiwe nawe ilikuwa lazima uoneshe una mashamba ya yeye na wewe kuweza kulima ili kuweza kujikimu.

Wakati huo kusuka ilikuwa mtindo wa twende kilioni tu ambao wanasukana wenyewe bure, sio kama ninyi hela anayotaka Mpenzi wako kusuka inaweza kununua mabati 28G ya kuweza kuezeka chumba na sebule 🤪🙌
Sasa hivi nywele og ni hela ya tiles box kama 20 hivi zile tiles zinazokaa 7!
Kupanga ni kuchagua
 
Comment yako imemaliza kila kitu, ingekuwa uwezo wangu ningezuia watu wasicomment
Maana umeuwa saana mkuu [emoji3][emoji109]
 
Sasa hivi nywele og ni hela ya tiles box kama 20 hivi zile tiles zinazokaa 7!
Kupanga ni kuchagua
Kwa kweli maisha ya mahusiano kwasasa ni gharama sana.

Ukiwa na malengo utajikuta una achwa na mpenzi wako maana utashindwa kumpa hela ya kununua Tiles ili yeye akasuke.

Sisi Wazee tuna waonea huruma Vijana wa sasa, wasipoangalia hata chumba na sebule ninayoishi Babu yao hapa watashindwa kujenga 🤪🙌
 
Hao wavaa mawigi hawanitamanishi huyu huyu mwenye upara akiotesha sana kipiripiri kinatosha anapendeza nani amekwambia hapendezi umemuona?
Vipi hapa, sema ukweli hushawishiki?
dss.jpg
 
Back
Top Bottom