Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

Tupo hapa kuwatoa mapepo ya wivu na hasira za Tozo, tafuta pesa acha ujima wa fikra, life has never had a true multidisciplinary facets on manifestations tumia akili ya kawaida tu acha hasira furahia maisha, let's be happier people and funny. Wake up men.
huwezi kinielewa hatanioongee nini. lalambele ujumbe. ujumbe ulikua haukuhusu wewe mshamba wamapenzi.
 
Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo.

Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68 mita na kuendelea, dadadeki tumbo hana, ana vinywele virasta fulani hivi hehehehe.

Ngoja niandae laki3 hivi hadi ijumaa akili haija tulia kabisa, tutafute pesa, pisi kali zipo, nimeikataa hali ya kuziita pisi kali sister au aunt siwezi.

Kwa hili hata uniombee silipuki mapepo utajua mwenyewe, Pesa na utamu ni bambam.

Imeisha hio.

Wadiz
Yani kila nkiandika nafuta alfu naandika nafuta.
Sema SHUKURU MUNGU nimefuta.
 
Yani kila nkiandika nafuta alfu naandika nafuta.
Sema SHUKURU MUNGU nimefuta.
siogopi kipimo cha akili ni circumstances tu. If you know and live ur purpose haisumbui kbsa, but those without purpose and direction always are the confused people
 
Tembea na kilainishi mkuu yani umesifia hadi alivyojiremba bila kujali ni nani anaemgharamia unahatarisha jicho Hilo.
 
wewe ni pepo hii mada inatuhusu sisi Waefeso injili hii ya pisi kali huiwezi
pisikali wapi wakati umeishia kuikodolea machotu naukaenda kuipigia nyeto. hela hamna halafu mnatamaa sana.mtakuja kufanywa vibaya sana. halafu mnajifanya wajuaji kweli kumbe madomo zege+ukapuku/hamna hela.nawashauli msome huku mkiwaza biashara mtakazo fanya Mana hakuna atakae ajili vilaza kamanyie
 
Back
Top Bottom