Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

Huwa kuna rika la kutafuta pesa? Ila wengi wao sijawahi kuona wamezipata. Unapata pesa ikiwa kuna kitu unafanya, lakini kama lengo ni pisi kali. Kuna umuhimu wa kujihoji.
 
sababu za vijana kufeli kimaisha point ni zile zile
1. umalaya
2.ulevi
3. kuhonga Sana
4. wake za watu
5. matumizi makubwa kushinda kipato
6. uvivu

nasisitiza POINT NI ZILE ZILE
Hii kama kweli, Mimi Nina addiction kwenye suala la Kuhonga, najitahidi nijitoe kwenye addiction hiyo..
 
Mkuu na mm naandaa laki 5, siku ukienda nishtue twende wote kwenye huo msitu inaonekana unawanyama wakali
 
Back
Top Bottom