Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

huwezi kinielewa hatanioongee nini. lalambele ujumbe. ujumbe ulikua haukuhusu wewe mshamba wamapenzi.
 
Yani kila nkiandika nafuta alfu naandika nafuta.
Sema SHUKURU MUNGU nimefuta.
 
Yani kila nkiandika nafuta alfu naandika nafuta.
Sema SHUKURU MUNGU nimefuta.
siogopi kipimo cha akili ni circumstances tu. If you know and live ur purpose haisumbui kbsa, but those without purpose and direction always are the confused people
 
Tembea na kilainishi mkuu yani umesifia hadi alivyojiremba bila kujali ni nani anaemgharamia unahatarisha jicho Hilo.
 
wewe ni pepo hii mada inatuhusu sisi Waefeso injili hii ya pisi kali huiwezi
pisikali wapi wakati umeishia kuikodolea machotu naukaenda kuipigia nyeto. hela hamna halafu mnatamaa sana.mtakuja kufanywa vibaya sana. halafu mnajifanya wajuaji kweli kumbe madomo zege+ukapuku/hamna hela.nawashauli msome huku mkiwaza biashara mtakazo fanya Mana hakuna atakae ajili vilaza kamanyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…