Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

Kumuntu ulibwerere, wewe baba ushauri
 
Ngoja mwakani nije na ID nyingine, maana MADA kama hizi huwa ninakosa UHONDO šŸ˜‚šŸ˜‚
 
U had bad sex
hujui lolote Kama ungekua kudume kweli ungechukua japo namba kwahuyo demu ulie msifia hapa.chakushangaza umeshindwa kitu kidogo kamahicho🤣🤣ukaendazako kupiga nyeto chooni. soma dogo utapakwa wese.😃😃wenzako wamehudumia wewe unakuja kusifia utaliponza tobo ilo🤣🤣
 
umepotea sana hujakomaa
 
Uzi bila picha haunogi, ebu tuwekee picha ya huyo mlimbwende unayedai ni pisi Kali tuone
 
Wanawake wa sasa bila kumshirikisha Mungu kukuepusha na zinaa ni kazi sana kuwakwepa wengi ni warembo kwa sura ila ndani mmh!
 
Sheria mkononi🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…