Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Akavunje milima ya mporoto huko atengeneze barabara kama anajiona mwamba[emoji1787]Atafungua tu I'd nyingine kwa kweli, I'm sure huko ana hasira anaweza kuvunja hata vitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akavunje milima ya mporoto huko atengeneze barabara kama anajiona mwamba[emoji1787]Atafungua tu I'd nyingine kwa kweli, I'm sure huko ana hasira anaweza kuvunja hata vitu
Eti anataka kujifanya maxence melo, nimeamini kuwa mwanaume inabidi uwe na koromeo kweliHukohuko,walivyo washamba sasa
Huoni ameingia jf anaiona yake hadi anajaribu kukufukuza[emoji1787]
Muda huo kanabishana hapa bora kangejifunza kuoga kwanza[emoji1787]
Maana ni wachafu kweli yaani
[emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli dunia Ina watu tofauti tofautiAkavunje milima ya mporoto huko atengeneze barabara kama anajiona mwamba[emoji1787]
Melo mwenyewe hajawahi kuwa na akili ya namna hii[emoji1787]Eti anataka kujifanya maxence melo, nimeamini kuwa mwanaume inabidi uwe na koromeo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli dunia Ina watu tofauti tofauti
Hahaaa wenzake badala wamshauri kuhusu hyo depression wanamtia sifa za kijinga kwa kweli na kumbe anashindana mwanaume mzima Hana haya.Basi Kuna mtu kamdanganya huko juu kwamba anapiga spana
Anajiona mwamba kweli kumbe anaonekana mapepo yamempanda.
Sasa melo si mwanaume hao wengine ni vile tu Wana uume maana hata delicious ana washindaMelo mwenyewe hajawahi kuwa na akili ya namna hii[emoji1787]
Kwanza waliomtia hiyo sifa watakuwa wanamshangaa[emoji1787]Hahaaa wenzake badala wamshauri kuhusu hyo depression wanamtia sifa za kijinga kwa kweli na kumbe anashindana mwanaume mzima Hana haya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF hii kiboko sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimejikuta nacheka sana
Eti anakwambia utoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Sasa melo si mwanaume hao wengine ni vile tu Wana uume maana hata delicious ana washinda
Wao si wanafurahia ugomvi wameitana na pm wengine wata mu feed na uongo juu. [emoji23][emoji23]Yani huu Uzi unafatiliwa na wengi Sana lohKwanza waliomtia hiyo sifa watakuwa wanamshangaa[emoji1787]
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF hii kiboko sana
Hii comment yako inathibitisha hoja yangu.[emoji23][emoji23][emoji23] hyo ni expression of love au ni mtu mgonjwa wa akili ana matatizo na anahitaji tiba maana hyo behavior sio ya mtu mzima, hebu mshaurini mwanaume mwenzenu asije jiua kwangu anajisumbua tu na huo ujinga wake.
Na hyo kukutana ngumu na nikikutana naye na mdunda na nikiwa na bastola namtanguliza kuzimu tu huyo mpuuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wao si wanafurahia ugomvi wameitana na pm wengine wata mu feed na uongo juu. [emoji23][emoji23]Yani huu Uzi unafatiliwa na wengi Sana loh
Piga ua Galagaza hawa cariha na Samcezar wakikutana Live Lazima Sana kuwe na MAUPENDO ya kufa Mtu AiseeeSamcezar na cariha mnachokifanya hapa kinaitwa reversed expression of love.
Mnatumia negativities kuelezea hisia zenu....mnatukanana lakini hakuna anayekubali ku give up sababu mnapenda kuwa in touch.
Mkitoka hapa mtaelekea PM na mwisho wa siku ni 6*6 bila tambara lolote.
Imewahi kutokea hivi hivi hapa JF na sasa ni mume na mke.
Nawatakia kila la kheri[emoji28]
We ulisikia wapi Cariha anataka kuwa na [emoji848]Yani Mkuu hata Mimi Nimetoka kusema huko juuPiga ua Galagaza hawa cariha na Samcezar wakikutana Live Lazima Sana kuwe na MAUPENDO ya kufa Mtu Aiseee
Mfano Mimi wakat niko Darasa la Sita na Saba kuna Demu furan tulikua haipiti wiki hatujapigana yani hivyo yani Mara anisemee kwa Mwalimu Nipigwe, Mara anifichie vitu vyangu, Mara anicheke, Yani Alimradi Tafrani pale. BUT THERE WAS A LOVE THERE. At the end of school tukawa tukoclose tunanunua msosi tunakula Pamoja tunaondoka wote shule
Tulikuja Date Vizuri After Form Four [emoji2][emoji2][emoji2]
Watake/Wasitake huo Ndio Ukweli
Na Nyie Wengine Acheni Ukorofi si Mkaushe [emoji38][emoji1]
Miss Renee yeye huwa hai engage herself in Arguments we have few ladies like This in Tz maybe the coming generation....,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]