Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Unauliwaje na mwanamke
Kmmk wanaume tumekua Wajinga Wajinga sana
Kmmk wanaume tumekua Wajinga Wajinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi wewe mwanangu unanikandia?
Sio kipo kwa mbali ila kipo ktk maximum level ila kwa sasa anakuektia tu.Kazaliwa ROMBO, makuzi yake ni Arusha mjini. Ila kaujeuri na kiburi anako kwa mbali nisiwe muongo.
Mkuu upo sahihi kwa 100%.Mwanamke wa kichaga akishashika pesa kwenye ndoa na akijua inamtosha ashaanza kujenga ama amejenga, kafungua biashara zake na anaona anaweza kuishi bila mwanaume nenda ukasali au mtangulize mapema sana lasivyo utakoma
Ulitakiwa umnyooshe tabia. Ungemwambia tuuze kila mtu asepe na 50% zake. Halafu yeye sasa akaanze upya kama ni rahisi namna hiyo. Me mjuaji dawa yake ni kumpambanisha na jua.Nilijenga nyumba pamoko na mwanamke WA kiiraq (mbulu) akaja nianzishia kuwa nyumba Ile ni yake Kwa kuwa alitumia fedha nyingi kwenye ujenzi zaidi YANGU. Mwisho pale tulipokuwa tunaweka hati aliiba nilipoulizia alidai ameshaichukua... Niliogopa sana na kupoteza Imani Naye. Ilibidi nijenge kiwanja changu kingine na kumuachia Ile nyumba Kwa usalama WA Maisha YANGU.
Koo za kina Mushi vipi mkuu, huko kiboshoDaaah kimsingi angalia huyo mwanamke wa kichagga anataka nini kwako.....wapo wale wanasema kabisa nataka tupambane wote mara napenda mume mpambanaji, mara unafanya kazi gani?? Mara biashara yako ni ipi na una duka au hauna, kuwa makini na wanachotaka.
Uzuri mimi ni mchagga chunguza kwenye koo zao huwa kuna historia gani???kuna koo au katika familia zao wana historia za kujirudia rudia.
Utadhani wametumwa kutoka kuzimu waje kuharibu jamii. Me wananikera sana.Mwanamke wa kichaga akishashika pesa kwenye ndoa na akijua inamtosha ashaanza kujenga ama amejenga, kafungua biashara zake na anaona anaweza kuishi bila mwanaume nenda ukasali au mtangulize mapema sana lasivyo utakoma
Kaoe maana hausikii. Unaambiwa sumu ya panya inaua binadamu wewe unachagua brand unauliza hii ni vipi? [emoji848]Koo za kina Mushi vipi mkuu, huko kibosho
Nawajua hao ni hatari kuna jamaa zangu kama wanna hivi wameoa wachaga sasa hivi wamebaki vibwengo wamegeuka wachungaji wa kushauri kuhusu aina za wanawake wa kuoa.Mkuu upo sahihi kwa 100%.
Verified truth hii nimeona kwa macho yangu nimeshuhudia sana ningeweza ningechukua video as evidence niweke tena hapa tena mabinti wawili mmoja KIDOGO anajielewa Ila mwingine ambae ni mdogo kiumri aisee ni balaa ni nusu alafu kanyoa ule mnyoo wa Sina Akilikilimanjaro au chuga
UONGO Nina Manzi wangu mmoja wa kikinga siku niwe na hela siku nisiwe na hela yeye yupo the same hapandi wala hashuki, mmoja nilitaka kuchukua Namba story za hapa na pale nikaona km tuna-match Ila story zilipozidi aliponiambia tu habari za MOSHI Kilimanjaro hivi Moshi vile akani-turn OFFNinachofaham wanawake wengi wanawaheshimu wanaume wenye kipato,kama Huna pesa baba utazalauliwa sana
Sio utadhani ila ndo uhalisia, popote palipo na anguko la mwanaume basi kuna mwanamke nyuma. Kumbuka shetani aliongea na mwanamke na sio mwanaume, na kupitia mwanamke ikatokea tukawa mbali na Mungu.Utadhani wametumwa kutoka kuzimu waje kuharibu jamii. Me wananikera sana.
Kwahiyo ndani ya ndoa mwanamke yupo sababu kuna pesa? Mkuu mapenzi yanahitaji hisia mtu mkaelewana hasa.Ninachofaham wanawake wengi wanawaheshimu wanaume wenye kipato,kama Huna pesa baba utazalauliwa sana
Mimi ilibaki kidogo tu niingie kwenye ndoa na mchaga, baada ya zoezi kukwama kila wakati nkikumbuka namwambia Mungu asante.Nawajua hao ni hatari kuna jamaa zangu kama wanna hivi wameoa wachaga sasa hivi wamebaki vibwengo wamegeuka wachungaji wa kushauri kuhusu aina za wanawake wa kuoa.
Imeisha maana kuchagua ni kupanga na ndio maisha.
Afadhali, angekuua huyo mkuu.UONGO Nina Manzi wangu mmoja wa kikinga siku niwe na hela siku nisiwe na hela yeye yupo the same hapandi wala hashuki, mmoja nilitaka kuchukua Namba story za hapa na pale nikaona km tuna-match Ila story zilipozidi aliponiambia tu habari za MOSHI Kilimanjaro hivi Moshi vile akani-turn OFF
😂😂 basi nikirudi naingia bariadi ndani ndani huku nifanye selection ya pisi moja ya kisukuma naona mnanitisha na mchaga wangu.Mwanangu umeshindwa kuchukua pisi ya kisukuma ulipo kuwa kule, unahangaika na hao watoa roho. Pole sana, nimelia sana!
Eeeeewwwwaaaaaaa😅🤣😂😘Lafudhi ni ya kichaga lakini inatoa picha ya uongo. Wanawake wa kichaga hawakosi heshima hivyo kwa waume zao. Infact niseme wanawake wa kichaga kwenye kuhudumia waume zao wako vizuri sana kwa sababu ni moja ya tamaduni za kichaga. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wanawake wa uswazi, uswahilini huko.
Hii ni ukweli ambao wazazi hawawaambii vijana wao.Ninachofaham wanawake wengi wanawaheshimu wanaume wenye kipato,kama Huna pesa baba utazalauliwa sana