Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Interesting how unakataa Generalization na hapohapo unageneralize. Victim mindset at best.Watu mna chuki na watu wa kaskazini. Sikiliza. Kwenye makabila kama wakurya, wasukuma, wachaga, wamasai kuna mfumo dume mbaya sana tangu miaka ya zamani. Hili limefanya wanawake wao kuwa watii kwa waume zao. Mikoa yenye wanawake jeuri ni mikoa ya Pwani kwani wanaume wa huko siyo wakali. Na ndiyo wenye wanawake midomo michafu kweli kweli
Jibu ni wanawake wote wako sawa, kinachowatofautisha ni malezi yao tu. Wenye tabia mbovu na njema wapo kila sehemu. Sababu binadamu ni viumbe individual wneye maamuzi na tabia binafsi. There, simple, nothing to cry about.