Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

Interesting how unakataa Generalization na hapohapo unageneralize. Victim mindset at best.

Jibu ni wanawake wote wako sawa, kinachowatofautisha ni malezi yao tu. Wenye tabia mbovu na njema wapo kila sehemu. Sababu binadamu ni viumbe individual wneye maamuzi na tabia binafsi. There, simple, nothing to cry about.
 
I agree but ......bado kuna utamaduni/mila na tabia za sehemu fulani ambazo watu wa eneo husika huwa nazo. Inawezekana tabia zikatofautiana kati ya familia kulingana na makuzi lakini bado kuna zile ambazo wengi huwa nazo kutokana na mazingira waliyokulia.
 
Hili nalo watajitetea watasema Wana chuki na wamarangu,kibosho,sina,machame nk.
 
Koo za kina Mushi vipi mkuu, huko kibosho
Kibosho koo za kina mushi ndiyo koo kubwa kuliko zote na ndiyo kuna idadi kubwa kuliko wote hapo unaangalia nyumba zao sio koo tena......
Japo mushi wana matabaka kama
Mushi Kimboka, mushi kinanga, mushi lesindamu, mushi sina, mushi lekundayo, n.k ni wengi

Ingekuwa kwa koo ndogo tu hapo ungealia koo mfano ukoo wa Kiria sio mkubwa unaweza ukawatazama wao walivo.
 
Siku iyo iyo nishapiga chini uvumilivu kabulini ukoo aisee siwezi kaa na mama wa namna hii atakuja akuue
 
Hatari kweli kweli
 
Hiyo lafidhi na hizo swaga zipo kwa wanawake wa kichaga na kimeru.
Yaani ukute ndio ana kazi kaajiriwa, kasoma kiasi na tayari umemuoa na kuzaa naye, basi ngoma inakuwa hivyo.
 
Kwahiyo ndani ya ndoa mwanamke yupo sababu kuna pesa? Mkuu mapenzi yanahitaji hisia mtu mkaelewana hasa.
Nimemaanisha ili mwanamke asikuzalau kuwa na kipato.tembea na chunguza wanaume wasio na kipato wanavyonyanyaswa kwenye ndoa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…