Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Akiwa mama wa nyumbn lzm afuge kuku, alime bustani....... afanye shughuli ndg ndg ambazo zita earn kipato mbali na ku manage nyumba tuu!!Yes akiwa mama wa nyumbani ata manage your house
Akiwa mama wa nyumbn lzm afuge kuku, alime bustani....... afanye shughuli ndg ndg ambazo zita earn kipato mbali na ku manage nyumba tuu!!Yes akiwa mama wa nyumbani ata manage your house
Anhaaaa nimekupata point yako 💯Akiwa mama wa nyumbn lzm afuge kuku, alime bustani....... afanye shughuli ndg ndg ambazo zita earn kipato mbali na ku manage nyumba tuu!!
Nimeongelea kazi ya kukuingizia kipatoKuwa mama wa nyumbani naona pia kwao ni kazi, Kwani nyumbani itakuwa analalal Tu?
Kama ni hivyo basi Sisi wanaume wa kiafrika bado tunapenda wanawake wa hivyo, elewa wale fundamentalist.Nimeongelea kazi ya kukuingizia kipato
Naona wengi hampendi career womenKama ni hivyo basi Sisi wanaume wa kiafrika bado tunapenda wanawake wa hivyo, elewa wale fundamentalist.