Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

Courtship ni kipindi maalumu cha kuchunguzana mkusubiria ndoa.
Uchumba unaohusisha ngono sio uchumba sauihi.
Courtship iliishia enzi zetu mwanzoni mwa 1990, after that year ni ngono tu.
Mwanafunzi anatoka familia ya kufungiwa ndani miaka yote, anasoma kibosho girls, anafaulu kuja UDSM, kipindi cha ovulation yupo discussion "hall 6" kwa jamaa mpaka saaa saba usiku na room mate wa mwanaume wameenda club, huyo mttoo atabaki salama?
 
Sasa hii inaingia kidini mkuu na kwa wote maana kwa walokole hata mkitaka kutoka out mtoke sehemu ya wazi tena kukiwa na msimamizi
Dini zote, sahihi kabisa. Chupi inavuliwa siku baada ya ndoa takatifu. Je, tunaweza?
 
Hana kazi, hana pesa ila ana tako na utii + anakupa amani, Aaaaaah!!!!, Akae mpaka anakufa bila kazi hakuna tatizo lolote ili mradi tu nimeweka mifumo miziri ya uchumi hata nikifa anaweza kula maisha.
Akiwa flat na mtii hafai😆😆😆😆
 
Ndio inawezekana sema exposure ya maisha ya kujishughulisha anatakiwa kuipata kwako kadiri siku mnavyoendelea kuishi.
Mazingira ni mwalimu tosha
miaka 25 huyu ngumu kumbadilisha , acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chura
 
miaka 25 huyu ngumu kumbadilisha , acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chura
Hata hao mnaosema wepesi kubadilisha ni kwamba ubongo unakuwa bado kuwa full developed ukishakuwa full developed hayo uliyomuweka akichanganua akaona hayafai mtagombana tu
 
Sio kwamba sikutaka afanye kazi, ni kwamba baadaye nilikuja kuona kazi dar inamfanya akose muda wa kutimiza majukumu. Tushajadili hopeful in future atafanya jambo ambalo litamfanya awe flexible
Majukumu yapi hayo?
 
Back
Top Bottom