Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,468
- 32,167
Kabisa mkuu watoto wanaishia kuhudumiwa na dada wa kazi tuYes kazi za kuondoka saa alfajiri kurudi usiku wote mmechoka hata watoto tunawakosea ule ukaribu wa uzazi kabisa unapungua sema life ndio inatuendesha hivyo