Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

Hakuna kitu hapa😅😅😅😅
Huo ndio ushujaa, utepe ukatwe maisha yaendelee!!😅😅😅

Back to the topic, Me akkipenda, ukionyesha kuwa future wife bora na mama mtarajiwa bora, mambo ya kipato hayana nafasi. Shida ni kukuona slayqueen, usiye na mchango wowote kwake, anaona huu utakuwa mzigo badala ya msaidizi.
 
Hakika wanaume hamna ubinafsi au ndio vitu mliwekewa na Mungu wanawake hatukupewa?
 
Mwanamke mnaamka wote kukumbilia daladal kuwahi kwenda kusema samahani boss kwa kuchelewa sio poa mkirudi nyumbani hakuna wa kumwambia mwenzie pole agggghrrrrhhh.

Anatafutiwa Mtaji kidogo tu nae awe na pakushindia na kuwahi nyumbani huyo ndo msaidizi. Hawa wa boss kanambia niingie jmosii na pili tumewaachie nyie.
 
Na they are turning at alarming pace mpaka tunaogopa
Siku izi wanaume wengi mara wawe mashoga, mara wa date mishangazi, mara wakiombwa elf 20 kwenye talking stage wakimbie, mara watake kujiattach na royal families, mara hawana hela maana zamani mshahara mmoja wa mume unalea mme mke na watoto, Leo wote mna mshahara ila bado shoo shoo.

Responsible man anaeza ishi na mke asie na kazi mama wa nyumbani kikubwa tu huyo mke ni wife material..siku izi mamario wamekua wengi Ndo maana mashoga wameongezeka nadiegirlie
 
Uko sahihi wanaume wengi wanakimbia majukumu wanataka kulelewa mara sijui mke ndio anahudumiwa yaani mambo mengi😄😄😄😄huo uzi wa Royal families naomba unitag maana naona unaongelewa sana halafu sijauona bado Balqior
 
Back
Top Bottom