nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 573
- 851
- Thread starter
- #81
Tumeenda nje ya mada kabisa hapa yaani maelezo yatakuwa marefu mnoSasa kwani wewe unapendwa kutamaniwa?
Tumeenda nje ya mada kabisa hapa yaani maelezo yatakuwa marefu mnoSasa kwani wewe unapendwa kutamaniwa?
Hapo ndo kiini chenyewe maana hapo unakuwa na hofu ya kuhisi wewe kukosa kazi utakosa upendoTumeenda nje ya mada kabisa hapa yaani maelezo yatakuwa marefu mno
Sio lazima, azae kulingana na uwezo na malengo yetuOa ila hakikisha anazaa vya kutosha kazi yake iwe kuzaa na kulea watoto.
PoleKulea mtu mzima mwenzio kazi,mi siwezi na sipendi mtu mzembe asiependa kujishugulisha jitu linaomba mpk hela ya chupi,vipako,kusuka sjui
Hill halihusiani na Hill and ikon,ni kwamba katika pitapita mtandaoni nilikutana na maoni ya wanawake kuhusiana na hii mada ndio maana nikataka kujua kwa wanaume kwao imekaa ajeHapo ndo kiini chenyewe maana hapo unakuwa na hofu ya kuhisi wewe kukosa kazi utakosa upendo
Unapaswa kujua Je mtu huyo kakupenda wewe au laa..
Hakuna career woman bikra, yaani amalize F4, F6, Chuo then atafute kazi na hiyo bikra ipo tu? Huyo namtaka na uzee wangu nimuoe😅Kwako wewe career woman mwenye bikra,na golikipa bikra unaenda na yupi
Kwahyo wapo wanaomlala bure mimi ndo nije kumtolea mahari nimuoe?Sasa anahusiana nini hapa 🤣🤣
Ninae mmoja bado anakaa kwao mwakani nambeba jumlajula aje akamilishw puzzle yangu, sasa hivi nam-program awe vile inavyotaka, lengo ni kuifikia vision niliyoianzisha na wote tunakua washindi
A man who knows what he wants🫡 salute kwakoNinae mmoja bado anakaa kwao mwakani nambeba jumlajula aje akamilishw puzzle yangu, sasa hivi nam-program awe vile inavyotaka, lengo ni kuifikia vision niliyoianzisha na wote tunakua washindi
Si anajishughilisha na wewe..Hapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
NakaziaUsukumani wanawake wote wanaoolewa hawana kazi, huolewa kwajili ya kujenga familia tu.
Zipo mbona😆😆😆kuna mwaka waliozesha 27years old career woman sema tu wengi ukifika umri huo hawezi kujitangaza unakutana na surprise tuHakuna career woman bikra, yaani amalize F4, F6, Chuo then atafute kazi na hiyo bikra ipo tu? Huyo namtaka na uzee wangu nimuoe😅
Sasa ukioa bikra ndio umeambiwa hamna watakaomlala bureKwahyo wapo wanaomlala bure mimi ndo nije kumtolea mahari nimuoe?
Usikubali kukaa nayo hadi 27yrs hata kama unayo saivi😅😅unakaa na kilema mwilini...Zipo mbona😆😆😆kuna mwaka waliozesha 27years old career woman sema tu wengi ukifika umri huo hawezi kujitangaza unakutana na surprise tu
Kwa kweli nayo ni kazi🤣🤣🤣🤣Si anajishughilisha na wewe..
hapana yule anafanya kazi namuogezea tu majukumuSasa kwani dada wa kazi golikipa?
What do men want jamani🤣🤣🤣usipokuwa nayo basi automatically unakitembeza bure ukikaa nayo muda mrefu kilema woooooi we can't winUsikubali kukaa nayo hadi 27yrs hata kama unayo saivi😅😅unakaa na kilema mwilini...
Seenhapana yule anafanya kazi namuogezea tu majukumu