min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ila yale kulala tu , nakufuatilia tamthilia dada wa kazi analifulia mpaka chupi zake?wanalima, wanavunwa, wanachota maji, wanaenda kutafuta kuni n.k
Ila yale kulala tu , nakufuatilia tamthilia dada wa kazi analifulia mpaka chupi zake?wanalima, wanavunwa, wanachota maji, wanaenda kutafuta kuni n.k
Ni kazi mpaka pale mume atakapokufa na umeachiwa watoto ambao bado wanahitaji matunzo.Kuwa mama wa nyumbani ni kazi pia.
Mimi nilimkuta na biashara yake nikamuachisha ili awe home care taker ili awe ananiondolea stress,na kwa kweli imetusaidia kubond kama Mume na Mke. Raha kweli kweli 😀Hapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
Kabisa mkuu.Watu huwa wanaignore hiyo issue ,kama m/ke asipokuwepo nyumbani basi inatakiwa aajiri dada wa kazi kufanya kwa niaba yake.
Hahaha, Kwanini mfano wa kifo, kwanini sio akipata changamoto itakayokatisha kipato ghafla? Kufa si mnaweza kufa wote wakabaki watoto?Ni kazi mpaka pale mume atakapokufa na umeachiwa watoto ambao bado wanahitaji matunzo.
Kwenye msiba unashangaa mke analia hadi makamasi bado kuzimia juu! Nyie mnadhani ni uchungu wa kufiwa kumbe mtu anawaza kesho watoto watakula nini.
Kweli aisee! Kifo kiepushwe tuzeeke pamojaHahaha, Kwanini mfano wa kifo, kwanini sio akipata changamoto itakayokatisha kipato ghafla? Kufa si mnaweza kufa wote wakabaki watoto?
Inasikitisha sanaaIla yale kulala tu , nakufuatilia tamthilia dada wa kazi analifulia mpaka chupi zake?
Hapa sawa. Jukumu la mwanamke hata akiwa mama wa nyumbani ni kuangalia alternative za uwekezaji na kumshauri mume mfano nyumba za kupanga.Kweli aisee! Kifo kiepushwe tuzeeke pamoja
Sisi wengine hatunaga tabia ya kuogopa ogopa kiboya.Hayo yote ni after tena hakuna kitu raha kama kumkuta binti kwa wazazi hawa wanaojishughurisha kuna namna wanaume tunakuwa na wasiwasi nao
Wanaolewa nguvu kazi. Wanalima balaa, bado kutafuta kuni, kuchota maji, kupika, kuzaa, kulea wengine hadi nyumba wanajenga wenyewe. Aaah utasemaje hana kazi huyo?Usukumani wanawake wote wanaoolewa hawana kazi, huolewa kwajili ya kujenga familia tu.
Tafsiri ya kazi ni ile inayokuongezea kipato yamkini ni ajira ama ofisiWanaolewa nguvu kazi. Wanalima balaa, bado kutafuta kuni, kuchota maji, kupika, kuzaa, kulea wengine hadi nyumba wanajenga wenyewe. Aaah utasemaje hana kazi huyo?
99% ya wanaume wanaangalia pisi kali na kama unajitambua kitabia, kazi au pesa zako sio issue, ila naona kuna Vijana wajinga humu wameanza kushauriana kuoa kwenye royal family 😁 na wana uzi wao kabisaHapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?