nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 573
- 851
- Thread starter
- #61
Swali lako ni rhetorical sidhani kama linahitaji jibu sababu wote tunajua hajaongea kiarabuSoma kwa ufahamu pia mimi nimekuuliza , sijakukataza kuuliza, usome kabla ya kujibu
Swali lako ni rhetorical sidhani kama linahitaji jibu sababu wote tunajua hajaongea kiarabuSoma kwa ufahamu pia mimi nimekuuliza , sijakukataza kuuliza, usome kabla ya kujibu
Kama ni bikra ataoa kana hana maana yake haoi goli kipa , nafikiri alisema hivi madau.Swali lako ni rhetorical sidhani kama linahitaji jibu sababu wote tunajua hajaongea kiarabu
Kulea mtu mzima mwenzio kazi,mi siwezi na sipendi mtu mzembe asiependa kujishugulisha jitu linaomba mpk hela ya chupi,vipako,kusuka sjuiWewe ni kitu unachokiweza? maana kuna wanaume wana uwezo kabisa wa kumudu kumtunza mwanamke ila hataki mwanamke asiyetaka kujishughulisha na hana kazi
Takataka kabisaKulea mtu mzima mwenzio kazi,mi siwezi na sipendi mtu mzembe asiependa kujishugulisha jitu linaomba mpk hela ya chupi,vipako,kusuka sjui
hao ndio nawataka ndugu niunganishe na mmoja awe wa tatu twendelee kujenga familia achana na watafuta wenye kazi na pesaUsukumani wanawake wote wanaoolewa hawana kazi, huolewa kwajili ya kujenga familia tu.
Hiyo hela ya chupi,vipako kusuka mpe🤣🤣🤣🤣apendeze hata wewe utajisikia fahari,mentione ya kusaidiana kama ukitoa ada yeye anadeal na uniforms na madaftari yaani mambo kama hayoKulea mtu mzima mwenzio kazi,mi siwezi na sipendi mtu mzembe asiependa kujishugulisha jitu linaomba mpk hela ya chupi,vipako,kusuka sjui
Ndio Kasema hivyo ndio maana nikataka kujua bikra alive golikopa na asiyebikra ambaye ni golikipa wana tofauti gani zaidi ya kwamba mmoja haijui dudu basiKama ni bikra ataoa kana hana maana yake haoi goli kipa , nafikiri alisema hivi madau.
NdiyoHapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
Bikra golikipa ,asiye ila ni goli kipa, jua asiye bikra na n golikipa ,jua kadaka mishale mingi sana , ila ambaye ni golikipa halafu ni bikra ana uvumilivu na anweza vumulia katika kila hali bila usaliti, kwa maana yangu nimemwelewa hivyo.Ndio Kasema hivyo ndio maana nikataka kujua bikra alive golikopa na asiyebikra ambaye ni golikipa wana tofauti gani zaidi ya kwamba mmoja haijui dudu basi
Ni sawa ila naona kama hizo ni assumptions tu hazina uhalisia kwa asilimia zoteBikra golikipa ,asiye ila ni goli kipa, jua asiye bikra na n golikipa ,jua kadaka mishale mingi sana , ila ambaye ni golikipa halafu ni bikra ana uvumilivu na anweza vumulia katika kila hali bila usaliti, kwa maana yangu nimemwelewa hivyo.
Unalitendea jina Lako haki😄😄Ndiyo
ZNi sawa ila naona kama hizo ni assumptions tu hazina uhalisia kwa asilimia zote
Kwako wewe career woman mwenye bikra,na golikipa bikra unaenda na yupizina uhalisia mkubwa
Kwa hiyo mpaka akupende akikutamani huna chako😁😁😁Wewe dada fanya hivi angalia huyo mwanaume kama anakupenda... Akikupenda wewe hatoangalia kama hauna kazi, mtajenga maisha upya
Sasa kwani wewe unapendwa kutamaniwa?Kwa hiyo mpaka akupende akikutamani huna chako😁😁😁
naachana naye huyo naoa dada wa kazi bomu hiloIla yale kulala tu , nakufuatilia tamthilia dada wa kazi analifulia mpaka chupi zake?
Kwangu hakuna career woman wenye bikra wala golikipa mwenye bikra, hivyo hapo hakuna pa kwendaKwako wewe career woman mwenye bikra,na golikipa bikra unaenda na yupi
Sasa kwani dada wa kazi golikipa?naachana naye huyo naoa dada wa kazi bomu hilo
OkeiKwangu hakuna career woman wenye bikra wala golikipa mwenye bikra, hivyo hapo hakuna pa kwenda