nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 573
- 851
- Thread starter
- #121
🤣🤣🤣🤣kudate si ni courtship mkuu sio necessarily muwekane jamaniNi kupunguza ukali wa maneno, kudate kibongobongo ni kuwekana.
🤣🤣🤣🤣kudate si ni courtship mkuu sio necessarily muwekane jamaniNi kupunguza ukali wa maneno, kudate kibongobongo ni kuwekana.
Wazee wa ovyo haoNani kasema, wazee wanadate mabinti..
Kibongobongo inaitwaje?😅🤣🤣🤣🤣kudate si ni courtship mkuu sio necessarily muwekane jamani
Anakuwa na uhuru sasa ndio mnachanganya na jeuri🤣Atakupikia chakula, atakufulia nguo, atalea watoto, atakupa amani ya MOYO.
Si wanaume wengi wanadai mke akiwa huru kiuchumi anakuwa na jeuri!!!!!!
Hehehe mchunguzano😄😄😄Kibongobongo inaitwaje?😅
We are providers.... Mimi mke wangu ni mfanyakazi kuna muda natamani angekuwa mama wa nyumbani kwa sababu kazi inamfanya ashindwe kutimiza yale majukumu yake vizuri japo anajutahidi sana.Wanaume mna huruma sana
Ni mambo ambayo mlitakiwa kukaa kuzungumza kabla ndoa haijafungwa muweke wazi misimamo yenuWe are providers.... Mimi mke wangu ni mfanyakazi kuna muda natamani angekuwa mama wa nyumbani kwa sababu kazi inamfanya ashindwe kutimiza yale majukumu yake vizuri japo anajutahidi sana.
Nashauri vijana ambao hawajaoa waoe akina mama wanaokaa home.
Huu uzi wa mtoto, above 25 ndio kwanza yupo chuo anaomba fied, matokeo semister ya mwisho bado, hivi vi habari peleka kwa groups za teen na sex hub huko.Hapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
Sio kwamba sikutaka afanye kazi, ni kwamba baadaye nilikuja kuona kazi dar inamfanya akose muda wa kutimiza majukumu. Tushajadili hopeful in future atafanya jambo ambalo litamfanya awe flexibleNi mambo ambayo mlitakiwa kukaa kuzungumza kabla ndoa haijafungwa muweke wazi misimamo yenu
Kiufupi unaweza si ndio
Ni ngumu kudate bila kuwekana mkuu Nadie, yaani mwaka mzima jamaa anakuangalia tu!😅Hehehe mchunguzano😄😄😄
Umeiweka kitaalamu sana mkuu. Hii code mpaka wenye D mbili ndo wanaielewa
Muwekano ni part ya mchunguzano ila sio main ni small part inayokamilisha circle ili iwe nzimaNi ngumu kudate bila kuwekana mkuu Nadie, yaani mwaka mzima jamaa anakuangalia tu!😅
Wapo sema hawana matacor kwa hiyo hamuwaangalii mara mbilimbili🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa, ukiona mwanaume analalamikia hayo atakuja kukusumbua mbele, Uwezo wa ndoa na familia unatokana na Mwanaume, actually kama ningepata mwanamke nikajua akikaa na kulea watoto na anaweza kuwa mwaminifu ningemhitaji huyo zaidi
Yes kazi za kuondoka saa alfajiri kurudi usiku wote mmechoka hata watoto tunawakosea ule ukaribu wa uzazi kabisa unapungua sema life ndio inatuendesha hivyoSio kwamba sikutaka afanye kazi, ni kwamba baadaye nilikuja kuona kazi dar inamfanya akose muda wa kutimiza majukumu. Tushajadili hopeful in future atafanya jambo ambalo litamfanya awe flexible
Sahihi, kuwekana ni part ya courtship....kibongobongo lakini.Muwekano ni part ya mchunguzano ila sio main ni small part inayokamilisha circle ili iwe nzima
Ndio nimeuleta chitchat siupeleki kokote kule nenda kanipeleke gerezani ukitakaHuu uzi wa mtoto, above 25 ndio kwanza yupo chuo anaomba fied, matokeo semister ya mwisho bado, hivi vi habari peleka kwa groups za teen na sex hub huko.