Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Bikra tu ndio ana haki ya kuniambia hivyo, ila hawa ma mitumba waendelee kutafunwa
 
Ni sawa kabisa, pia kwa mjini humu uko Sahihi si Kila mtu, ila wakikaza tataoa sana ila njaa ndio shida hawawezi kukaza
Na wewe uelewe mwanamke bikra ndie wa kuongea hayo maneno ila li bwawa ambalo halikujitunza liendelee kutumika
 
Ilikuwa jkt alikuwa mlokole na mm nikaenda na swaga za kilokole usiku tukiagana tusali kwanza af ndio ulale 😂

Nikimkumbusha anasema oh si unajua dhambi ilikeenda ikawa nami namuunga mkono nashangaa siku ya siku inakuja sms naisoma ansema hapa labda wewe tu ndio naweza kukupa ilikuwa usiku akasema twende mnazi nikajitutumua nikaenda mnazi nikamaliza baada ya hapo nikamfungia viooo
 
Mimi sipindushi msimamo wangu

Having sex is like lowering my standards
Sizini mm
Na hela zao ntakula
Uko Sahihi hiyo kitu inatolewa Kwa vigezo na masharti uko Sahihi, ila kwenye kula Hela umeanza kuharibu, unakula Hela kwa kigezo kipi? Ukila Hela yake ni sawa na huyo anaezini bila ndoa. Acha utapeli malle, na mpaka hapo na Hela unakula wanakupiga vizur tu nimekushtukia.
 
Me nakula nauli😹😹😹tu sizini bana
Waache kukaa mkao wa kuchunwa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…