๐น๐น๐น kujitunza ndo ngani? Mi mgeni waeza nielezea kwa ufupi?Tatizo sio mwanaume kusubiri mpaka ndoa, ishu n je huyo mwanamke nae amejitunza kusubiri mpaka hy ndoa? Au wahuni wamejipigia afu anataka kijana wa watu anunue gunia bila mbuzi ๐
Kujitunza n kubana mapaja hakuna kuruhusu mdudu mtu kupita hapo kwenye apple ๐๐น๐น๐น kujitunza ndo ngani? Mi mgeni waeza nielezea kwa ufupi?
Mdudu mtu ndo makitu ngani? ๐นKujitunza n kubana mapaja hakuna kuruhusu mdudu mtu kupita hapo kwenye apple ๐
Ile kitu inaingia na kutoka kwa mwenzio.Mdudu mtu ndo makitu ngani? ๐น
Nilijua tu ulishajichanganya, umesema hufanyi zinaa ila pesa unakula, Sasa hivi hakuna waoaji, mhhhhh, Sasa naamini unakula Hela na wewe unalika hakuna mjadala, na siji Tena kutoa mahari.Siku hamna waoaji
Unasubirishwa nini ? Ametaka ndoa peleka taarifa kwao ikikubalika hata wiki nyingi ndoa imefungwa we unasubirishwa kwani ndoa Ina uzito gani? Hizo ela unazompa ndo matumizi ya mke Oa ndo uhudumieNo sex till the marriage iliwezekana miaka ya nyuma. Miaka hii wachumbiaji ni wengi, mnapangwa kwa madaraja ya kipato na wanaofaidi ni wenye kipato kikubwa. Wenye kipato kidogo huishia maumivu kwa vihela vyao kuliwa bure na hakuna ndoa, anaoa mwingine ambaye naye anaoa aliyechakachuliwa tayari na wale wenye hela wa mwanzo. Mabinti wa sasa wana tamaa ya fedha sana, wana wachumba wengi, unasubirishwa usile lakini wengine wanakula
Usijaribu utashindwa Bali fanya UTAWEZA.๐น๐นNgoja nijaribu
๐นUnanihukumu mapemaNilijua tu ulishajichanganya, umesema hufanyi zinaa ila pesa unakula, Sasa hivi hakuna waoaji, mhhhhh, Sasa naamini unakula Hela na wewe unalika hakuna mjadala, na siji Tena kutoa mahari.
Uzi ufungwe hapaa.we naye useme no money wala matunzo hadi ndoa
Wee mzee wa Hall V, em sema kweli?Hapo maana yake, Kwanza amekudharau.
Ukiwa siriasi kiume hamna binti atakuambia hivyo.
Saana ataileta mwenyewe uile kimasikhara....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitisha huduma za chips kuku na pepsi...wiki tu anaomba kuja geto
Kitu cha ajabu km kipii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kauli nzuri kidini uzinzi ni dhambi
Ila kwangu siwezi,lazima nionje..tutatubu baadae [emoji1787] nisijekutana na kitu cha ajabu nikajuta
Ila pia huenda hujamvutia mwanamke sexually, kuna tuvituvitu vimemturn off ndo maana hataki kutoa mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikubali huo mtego, huko ndoani utaenda kuogelea kwenye pacific ocean
Huu uongoo!!Balqior nilipataga mmoja wa hivo toka mwaka jana mwezi wa saba nikatongoza akakubaki mzigo kutoa ikawa kipengele ila pesa za matunzo anazitaka nilimpa kwa muda ili kumlainisha nikaona ngoma ngumu nikakata misaada yote halafu nikaanza kuja na manzi magheton nayeye anaona halafu simsemeshi wala nini, juzi kati nilivuta manz yangu moja gheto baadae naskia mlango unagongwa kufungua nashangaa huyo dem akazama ndani akakuta nipo na mtoto mkali kafunga taulo tu. Bac akakaa kwenye sofa akaanza kujichekesha chekesha pale mara ohh nimekufata unisindikize shopping mara ooh huyu dada ni nani yako au dada yako mie sijibu namuangalia tu baadae yule dem wangu akamwambia skia wewe em toka nje bac yule dem akatoka.
Kesho yake akanitafuta sana akaniambia kwanini nilifanya vile nikamwambia ulitegemea nifanye nini ikiwa wewe unaninyima mzigo wakati wengine nikipiga simu moja tu huyu hapa bac akasema kweli kosa ni lake bac nimsamehe hapa navyoandika kaja toka asubuh kaileta mwenyewe tena bila mashart na kaomba niachane na madem zangu wemgine nibaki nae coz ameshajirekebisha pia yuko na wivu sana juu yangu kwasasa nikamwambia poa nimeichapa sana yani leo.
Na haujaikuta bikra? Maana yake alitaka akakugee kwenye ndoa tobo watu washapiga sana tu.Balqior nilipataga mmoja wa hivo toka mwaka jana mwezi wa saba nikatongoza akakubaki mzigo kutoa ikawa kipengele ila pesa za matunzo anazitaka nilimpa kwa muda ili kumlainisha nikaona ngoma ngumu nikakata misaada yote halafu nikaanza kuja na manzi magheton nayeye anaona halafu simsemeshi wala nini, juzi kati nilivuta manz yangu moja gheto baadae naskia mlango unagongwa kufungua nashangaa huyo dem akazama ndani akakuta nipo na mtoto mkali kafunga taulo tu. Bac akakaa kwenye sofa akaanza kujichekesha chekesha pale mara ohh nimekufata unisindikize shopping mara ooh huyu dada ni nani yako au dada yako mie sijibu namuangalia tu baadae yule dem wangu akamwambia skia wewe em toka nje bac yule dem akatoka.
Kesho yake akanitafuta sana akaniambia kwanini nilifanya vile nikamwambia ulitegemea nifanye nini ikiwa wewe unaninyima mzigo wakati wengine nikipiga simu moja tu huyu hapa bac akasema kweli kosa ni lake bac nimsamehe hapa navyoandika kaja toka asubuh kaileta mwenyewe tena bila mashart na kaomba niachane na madem zangu wemgine nibaki nae coz ameshajirekebisha pia yuko na wivu sana juu yangu kwasasa nikamwambia poa nimeichapa sana yani leo.