Balqior nilipataga mmoja wa hivo toka mwaka jana mwezi wa saba nikatongoza akakubaki mzigo kutoa ikawa kipengele ila pesa za matunzo anazitaka nilimpa kwa muda ili kumlainisha nikaona ngoma ngumu nikakata misaada yote halafu nikaanza kuja na manzi magheton nayeye anaona halafu simsemeshi wala nini, juzi kati nilivuta manz yangu moja gheto baadae naskia mlango unagongwa kufungua nashangaa huyo dem akazama ndani akakuta nipo na mtoto mkali kafunga taulo tu. Bac akakaa kwenye sofa akaanza kujichekesha chekesha pale mara ohh nimekufata unisindikize shopping mara ooh huyu dada ni nani yako au dada yako mie sijibu namuangalia tu baadae yule dem wangu akamwambia skia wewe em toka nje bac yule dem akatoka.
Kesho yake akanitafuta sana akaniambia kwanini nilifanya vile nikamwambia ulitegemea nifanye nini ikiwa wewe unaninyima mzigo wakati wengine nikipiga simu moja tu huyu hapa bac akasema kweli kosa ni lake bac nimsamehe hapa navyoandika kaja toka asubuh kaileta mwenyewe tena bila mashart na kaomba niachane na madem zangu wemgine nibaki nae coz ameshajirekebisha pia yuko na wivu sana juu yangu kwasasa nikamwambia poa nimeichapa sana yani leo.