mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Nafikiria kwanza zile Hela za watu ulizokula nikitembea na wewe njiani mara huyu hapa rudisha Hela zangu hapo itakuwaje? MmmhhhhHii ndo tunasema I belong to you,๐ญ๐
Jumapili tuende kanisani๐
Au
Ukipendwa hata kabla hujasema unapewa vizuri tena mchana kweupe.Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..
No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..
Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.
Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Kumbe muandikomuandiko
halafu nyie wote kama wakenya vile
Nlikula za watu wa majuu aki๐Nafikiria kwanza zile Hela za watu ulizokula nikitembea na wewe njiani mara huyu hapa rudisha Hela zangu hapo itakuwaje? Mmmhhhh
Mmmhhhh nitathibitishaje? Nithibitishie bana alafu uje mp ni mp au pm, alafu wanasema mtu akikupenda anakupa mchana kweupeee, si utanpea na wewe? Shahid yangu realmamyNlikula za watu wa majuu aki๐
Aiseeewewe mbona umefanana sana na Lilith au ni ndugu?
Sasa tumfuate nani Lamomy au realmumy?Dada Lamomy alisema bila hela hamna utamu
๐๐๐๐Ngoja nifikirieSasa tumfuate nani Lamomy au realmumy?
Usichukue mda kufikiria๐๐๐๐Ngoja nifikirie
ni kawaida humu kukuta mtu ana id zaidi ya mojaAiseee
Au kwavile sipo active sikuhizi jf
Upo na ngapini kawaida humu kukuta mtu ana id zaidi ya moja
2Upo na ngapi
Ipi na ipi?
ni siri, mods wakijua wanaziunganishaIpi na ipi?
๐Msije kusema hii acc ni ya Lilith nikafungiwa bureni siri, mods wakijua wanaziunganisha