Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Habarini,

Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..

No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..

Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.

Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Ukipendwa hata kabla hujasema unapewa vizuri tena mchana kweupe.
 
Jenga mazoea na huyo demu ila chunga sana mazoea usiyaanzishe kwa msingi wa kumuita kwny sehemu ambayo utachojoka mtonyo nakuhakikishia bro huo mzigo utaula ata kwny pagale na for free of charges kbs

Nb. Zingatia neno mazoea na u joti fulani ivi kwa mbali Uki fair apo achana na hilo jini sio manzi
 
Mim nimekutn nayo, sikuhangaika nikajua hap hakuna jipya, hivyo nikapunguza ukaribu nae akaniuliza kulikon nikamwambia usijari
 
Back
Top Bottom