Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Mimi sipindushi msimamo wangu

Having sex is like lowering my standards
Sizini mm
Na hela zao ntakula
Hilo line mwisho hiyo utafanywa vibaya hasa ukikutana na wahuni,kuna wapuuzi wanawawekea dawa wanawake baada ya hapo wanapita milango yote. Mpo kwenye dunia ambayo haina huruma maana wengine hela yao lazima jasho litakutoka.
 
Hilo line mwisho hiyo utafanywa vibaya hasa ukikutana na wahuni,kuna wapuuzi wanawawekea dawa wanawake baada ya hapo wanapita milango yote. Mpo kwenye dunia ambayo haina huruma maana wengine hela yao lazima jasho litakutoka.
Thank you 😍mmeacha kula
 
Ile kitu inaingia na kutoka kwa mwenzio.
Afu leo J2 nimetoka kanisani, niache usinitie dhambini, shindwa ibilisi fire fire fire fire 🔥🔥🔥
Huko church kikapu cha sadaka kimepona kweli? 😹😹
 
Habarini,

Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..

No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..

Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.

Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Kama sio bikira hana uhalali wa kuweka ilo sharti. Naomba nieleweke hapa kwamba, haki ya kuweka ilo sharti anayo lakini uhalali hana.
 
Uko Sahihi hiyo kitu inatolewa Kwa vigezo na masharti uko Sahihi, ila kwenye kula Hela umeanza kuharibu, unakula Hela kwa kigezo kipi? Ukila Hela yake ni sawa na huyo anaezini bila ndoa. Acha utapeli malle, na mpaka hapo na Hela unakula wanakupiga vizur tu nimekushtukia.
Tuma M-PESA number nikuwekee hela ya nyamachoma, umemuumbua vzr malaya mkubwa huyo
 
Waulize wao ni Bikra? Kinachowasumbua nyinyi ni njaa ndo maana hata wewe nilijua unamsimamo kumbe Hela zao unazitaka, utawapa tu hiyo kitu.
Huyo utakuta hata leo katoka kutombwa, anajifanyisha kumbe hana lolote
 
Mtumba unipangie mimi no sex serious unakubali tu sawa tukutane ukweni
 
Huyo utakuta hata leo katoka kutombwa, anajifanyisha kumbe hana lolote
Kweli empty vessel makes the loudest noise

And learn not to intrude to other people's businesses especially mine

Itakusaidia sana hayo matatizo yako
 
Back
Top Bottom