Wayafanye hayo huko Tarime......Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam jifunzeni ukakamavu maana ni jukumu la kila Baba kuilinda familia yake.
👍🤣🤣Mtu anaondoka kijijini kwao akiwa mwanaume akishafika dar
Spiritually anavaa gauni
Unakuta tu Kuna vitu vinapwaya
Waambie waje Arusha hao panyas waone moto
usiseme PANYA,sema GUPANYAMitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam jifunzeni ukakamavu maana ni jukumu la kila Baba kuilinda familia yake.
Watu waarusha mnajikutaga wababe cjui mmepinda kumbe walaini kama siki kenge nyie!Waje Arusha hao.... Yaani ni kina mama tuu ndo watapambana nao wawatie adaby
Huko mikoani kila siku mnauana vifo vingine vya aibu,ati baba nae anakuja kulala ulipo lala wewe na mke wako halafu kakumbatiaKwanza bei ya bastola sio kubwa sana maana mpaka ukiwa na laki saba au nane unapata.
Tatizo ni msahariti ya namna ya kuipata. Maana unaanzia ngazi ya mtaaa mpaka mkoa na mamlaka husika ili kuipata kuimiliki kihalali. Hii inakiwa kikwazo kwa wananchi kujilinda maana vibaka wanadhalilisha watu na kuibia mali..
Fukiria mtu anabakwa mbele ya mke wake au mke wake na watoto wanabakwa na kuibiwa mali na vijana wa miaka 12 mpaka 18 kisa tu ni wavuta bangi na walioshindikana ki malezi.
Wanaume wa Dar wasaidiwe.
Inahusiana vipi na mada husika?Huko mikoani kila siku mnauana vifo vingine vya aibu,ati baba nae anakuja kulala ulipo lala wewe na mke wako halafu kakumbatia
Kama unaizarau Dar njoo uje ufanye upuuzi uone watakavyokutenganisha hizo gorori na dushe LakoMitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.