mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mitaa gani hiyoKwanza bei ya bastola sio kubwa sana maana mpaka ukiwa na laki saba au nane unapata.
Tatizo ni msahariti ya namna ya kuipata. Maana unaanzia ngazi ya mtaaa mpaka mkoa na mamlaka husika ili kuipata kuimiliki kihalali. Hii inakiwa kikwazo kwa wananchi kujilinda maana vibaka wanadhalilisha watu na kuibia mali..
Fukiria mtu anabakwa mbele ya mke wake au mke wake na watoto wanabakwa na kuibiwa mali na vijana wa miaka 12 mpaka 18 kisa tu ni wavuta bangi na walioshindikana ki malezi.
Wanaume wa Dar wasaidiwe.
Iliyotekwa na kupigwa pini
Ova