Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

😆 Hivi mwanamme utakaaje ndani bila hata silaha? Sawa unaweza kuwa huna bunduki, hata mkuki au upinde na mishale hakuna. Fimbo pia huna. Mtu utakuta ndani anafimbo ya selfie pekee.
 
Sipati picha huo mkog'oto wanaoupata hao madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…