Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Mikoani ni mikoa nje ya Dsm, sio lugha rasmi lkn tunaelewana, yaani kama vile ukisikia mtu anatoa tigo unaweza kujiuliza tigo ni nini lkn wenye lugha yao wanaelewana.
Kakudanganya nani? Ata Arusha wanaona yeyote wa nje ya kwao mtu wa mikoani. Mfano Arusha mjini ni jijini hasa sio mashambani kama unavofikiri.
 
Acha kutetea ukenge, huku kwetu wangeiba labda nyumba 1 au mbili, baada ya hapo team sungusungu tungewageuza wote mishikaki ndani ya siku 2 tu. Hakuna cha polisi wala mahakama, ni taili tu za gari na petrol...pambaf!!
Kijijini Kuna watu au mizogo imagine Kuna vijiji tu mwalimu anaogopwa kama Rais
 
Unafananisha wahuni wa unga ltd na hivi vitoto?
Achana na hao kuna bwege anaitwa Teleza anaingia ndani anawapiga mkuyenge wake zao na dada zao na anakuwa mmoja tu. Toka mwaka jana anazingua wameshindwa kumkata na kumtaili.
 
Cha ajabu Dar kuna mataili mengi sijui mnafanyiaga kazi gani?
 
Huyo jamaa uliyemweka kwny Avatar yako ndicho alichokifanya nchini kwake,kaua Sana kwa style hio mpk majambazi na vibaka somo likawaingia barabara.
Hanaga Mchezo Kwa kuhakikisha raia wema wanaifurahia nchi yao Kwa kufanya kazi zao Kwa utulivu na amani bila kuogopa wapuuzi. Yaani watu waogope serikali waogope na vibaka. Hayo mapanga wangeenda Kisarawe si wangefyeka Pori na kulima nyanya na kuuza. Wanasubiri watu watafute halafu wao waibe kinyama Kwa kukata watu mapanga.
Jamani panga linauma sana kwenye kichwa Cha mtu.

Rais Samia alipe Jeshi la Polisi meno sio kulipiga vijembe na kuungana na wapigaji wanolichukia Jeshi la Polisi Kwa sababu zao za kihalifu na kulinda uhalifu wa Rushwa kubwa huku wananchi wakiteswa na panya road. Kwa Sasa wale wanaokiokula Kwa urefu wa kamba zao na asali zao wanajitanua Kwa kutumia mwanya wa kulinyooshea Jeshi la Polisi vidole vya rushwa za Hela ya kiwi huku wao wakivuna mabilioni kwenye hazina na mawizara na Halmashauri.
Matokeo yake jamii inakosa Imani na Jeshi la Polisi Kwa kuona kuwa ni Jeshi la rushwa TU kumbe ni wanasiasa wanavumisha ili kupoteza watu wasiwaangalie madhambi yao kwenye siasa .
 
Huyo jamaa uliyemweka kwny Avatar yako ndicho alichokifanya nchini kwake,kaua Sana kwa style hio mpk majambazi na vibaka somo likawaingia barabara.
Rwanda ikifika saa 12 Jeshi linaingia Doria mtaani. POLISI WANARUDI KUPUMZIKA MPAKA KESHO 12 ASUBUBI ,
POLISI WANAINGIA MCHANA Jeshi Usiku. Usiku mji unatulia kama Maji kwenye mtungi. Mchana Polisi wanafanya Doria usalama unakuwepo hakuna mtu anayeporwa mchana Wala kupigwa panga usiku.

Tanzania watu wanashindwa kujifunza Nini wenzetu wanafanya mpaka wanafanikiwa kwenye jambo Fulani.
Tuna wanasiasa wa hovyo sana.
Hakuna wanachojifunza nje ya nchi wakakileta na kuifanyia kazi.

Mfano yule Padri wa hovyo hovyo anayeitwa Daktari wa Kienyeji Slaa. Amekaa Nchi zenye Demokrasia kubwa sana na maendeleo makubwa Kwa miaka badala ya kuja na kuelimisha jamii umuhimu wa Demokrasia na namna sahahi ya kufanya siasa na chaguzi za haki na za wazi na Kwa kuwa na Katiba yenye kuheshimu misingi ya Demokrasia bila kujali Chama ,yeye anageuka na kusifia Chama kilichomuumizia Kwa muda mrefu huku watu wakiuawa na kufanyiwa walemavu na Chama kile kile Cha CCM. Yaani pamoja na kukaa Ulaye kwenye maendeleo ya kidemokrasia lakini amezidi kuwa Mbaya kuliko hata akina Kinana wenye Chama.
Balozi anakaa Rwanda, Sweden, Denmark, Uholanzi , Norway na Dubai na kuona usalama wa kutosha halafu anashindwa kumshauri Rais Nini kule wamefanya badala yake anabaki Kupiga siasa na ujinga mwingi kudhoofisha upinzani as if Tanzania tatizo lao ni vyama vya upinzani!
 
Kakudanganya nani? Ata Arusha wanaona yeyote wa nje ya kwao mtu wa mikoani. Mfano Arusha mjini ni jijini hasa sio mashambani kama unavofikiri.
Sielewi unachobishia ni nini hasa, kama watu wa Arusha wanaita wa nje ya Arusha wa mikoani na wanaelewana shida iko wapi? Huku Dar nao wanafanya hivyo hivyo na wanaelewana. Tatizo unataka kuleta usahihi kwenye matumizi ya lugha wakati wabongo huo usahihi hawautaki, bongo bora kuelewana tu [emoji3]
 
Hapa kuna warriors wako nyuma ya keyboards zao wanatia vitisho mno
 
Kuwa bize mda wote washindwe kuweka ulinzi ni uongo. Mida ya panyaroad huwa ni kuanzia saa 12 jioni yaani jua likianza kuzama na hadi saa tatu usiku, mida hii maduka mengi hayajafungwa, hao wenye maduka hawana upinde na mishale yenye sumu? Plus speaker za kupigia yowe? Ili kuwachanganya panya? Ili wasijue wanapigwa ambush toka pande ipi.
 
Ushirikiano ni sifuri na washauona hua udhaifu...
 
🤣🤣🤣wanaume wa mikoani wamepata point za kuwasema wanaume wa dar..
 
Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.

Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!

Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.

Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!

Wanaume wa Dar es salaam jifunzeni ukakamavu maana ni jukumu la kila Baba kuilinda familia yake.
😂😂😂
 
Wayafanye hayo huko Tarime......
Panya road wa Dar, ni kwa ajili ya watu wa Dar. Panya road wa miji kama vile Tarime, wakiibuka lazima watakuwa Wakali kuliko wakazi wa maeneo hayo. Usiwadharau watu wa Dar kwa sababu watu wa Dar, hawatembei na silaha kama vile sime na fimbo.
Panya road wakiibuka kwenye miji ya watu wanaotembea na mapanga wao hawatatumia mapanga kama wafanyavyo Dar.
Panya road ni kundi baya sana si la kufanyia mzaha, wala usiwaone watu wa Dar, kuwa ni wanyonge. Panya road wanatembea wakiwa makundi Kama mbwa mwitu.
 
Back
Top Bottom