Huyo jamaa uliyemweka kwny Avatar yako ndicho alichokifanya nchini kwake,kaua Sana kwa style hio mpk majambazi na vibaka somo likawaingia barabara.
Rwanda ikifika saa 12 Jeshi linaingia Doria mtaani. POLISI WANARUDI KUPUMZIKA MPAKA KESHO 12 ASUBUBI ,
POLISI WANAINGIA MCHANA Jeshi Usiku. Usiku mji unatulia kama Maji kwenye mtungi. Mchana Polisi wanafanya Doria usalama unakuwepo hakuna mtu anayeporwa mchana Wala kupigwa panga usiku.
Tanzania watu wanashindwa kujifunza Nini wenzetu wanafanya mpaka wanafanikiwa kwenye jambo Fulani.
Tuna wanasiasa wa hovyo sana.
Hakuna wanachojifunza nje ya nchi wakakileta na kuifanyia kazi.
Mfano yule Padri wa hovyo hovyo anayeitwa Daktari wa Kienyeji Slaa. Amekaa Nchi zenye Demokrasia kubwa sana na maendeleo makubwa Kwa miaka badala ya kuja na kuelimisha jamii umuhimu wa Demokrasia na namna sahahi ya kufanya siasa na chaguzi za haki na za wazi na Kwa kuwa na Katiba yenye kuheshimu misingi ya Demokrasia bila kujali Chama ,yeye anageuka na kusifia Chama kilichomuumizia Kwa muda mrefu huku watu wakiuawa na kufanyiwa walemavu na Chama kile kile Cha CCM. Yaani pamoja na kukaa Ulaye kwenye maendeleo ya kidemokrasia lakini amezidi kuwa Mbaya kuliko hata akina Kinana wenye Chama.
Balozi anakaa Rwanda, Sweden, Denmark, Uholanzi , Norway na Dubai na kuona usalama wa kutosha halafu anashindwa kumshauri Rais Nini kule wamefanya badala yake anabaki Kupiga siasa na ujinga mwingi kudhoofisha upinzani as if Tanzania tatizo lao ni vyama vya upinzani!