Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 May 8, 2022 #241 Sasa hivi tushawazoea Wanaume wa dar inabidi tukubaliane na udhaifu wao wanahitaji msaada
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 May 8, 2022 #242 Maghayo said: View attachment 2216154Kaangalie kama hako. Miguu utadhani ya kware. Click to expand... Kwanza kanaonekana kama kagonjwa ka ule ugonjwa wa nanihii.
Maghayo said: View attachment 2216154Kaangalie kama hako. Miguu utadhani ya kware. Click to expand... Kwanza kanaonekana kama kagonjwa ka ule ugonjwa wa nanihii.
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 9,626 Reaction score 6,731 May 8, 2022 #243 kyagata said: Hivi inakuaje vijitu vimekondeana kama hivi vinawanyima usingizi? View attachment 2215873 Click to expand... Mkuu unawashangaa? Wanaume wenyewe wanaongozwa na Steve Nyerere kama rais wao, Mwenyewe anajiita rais wa wanaume wa Dar
kyagata said: Hivi inakuaje vijitu vimekondeana kama hivi vinawanyima usingizi? View attachment 2215873 Click to expand... Mkuu unawashangaa? Wanaume wenyewe wanaongozwa na Steve Nyerere kama rais wao, Mwenyewe anajiita rais wa wanaume wa Dar
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 May 8, 2022 #244 Nadhani Arusha kulikuwa na kijana anajipaka mafuta mwili mzima alafu anaingia kwenye nyumba za watu na kuwabaka wake za watu sijui aliishia wapi yule BINGWA......
Nadhani Arusha kulikuwa na kijana anajipaka mafuta mwili mzima alafu anaingia kwenye nyumba za watu na kuwabaka wake za watu sijui aliishia wapi yule BINGWA......
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 8, 2022 #245 Kuna mambo yanafurahisha sana...