[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]
wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23]mchana na ucku chips naimagine vimaji maji atavyotoa baada ya show[emoji23][emoji23]eee baba wanusuruUnaona sasa mnavokosa utamu,kwenu mboga kwao mlo wa siku. MChana au usiku
Hahajahajah haki ya Mungu wanaume wana mamboSaa hiyo anasema uaaa, uaaaa anaruka ruka kama popcorn akiwa juu ya kitanda. Hehehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchana na ucku chips naimagine vimaji maji atavyotoa baada ya show[emoji23][emoji23]eee baba wanusuru
Unaona. Aise sina kingine zaidi ya cheers to you guysDar ni kuwahi foleni tu..... Utapata wapi muda wa kuanza kula miwa....
Ni mwendo wa juice hahhhhh
Achana nao hao wa mkoa. Wakishuka Ubungo mtihani wa kwanza ni kuvuka barabara. Kwanza majengo yanamchanganya, pili hajui anaanzaje kuvuka barabara. Wengi wanaishia kupiga simu tukawapokee, halafu wanaleta dharau eti wanaume wa Dar dhaifu. Shynzy taipuKwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee
Hahaha hiyo #3 nimeipenda.Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Kaka zangu hawa hawawezi...Hahaha hiyo #3 nimeipenda.
Kwa hiyo hata kukimbia shida
Sa si apande tu fresh asimame, make fire na msimbazi kutembea hata dakika 10 haziishi, mwanaume anagombania utadhani ana safari ya masaa mawiliHahhhh.... Labda alikuwa ana wahi dili
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]mchana na ucku chips naimagine vimaji maji atavyotoa baada ya show[emoji23][emoji23]eee baba wanusuru
Kwa kweli mmewasoma haswaKala zangu hawa hawawezi...
Mpendwa, yafaa nini hela bila show ya kibabe??!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kati ya sisi na hao wa countryside wapi wanawapa hela??? Saana.
Hata hilo...
Cheers kwaoNachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Ngoja nikafanye scrub na pedicure narudi.
Mboga wapi ww nikichamsha kinywa bwanaaHahahaha wakat Chips huku kwetu ni mboga
Ni hatarii sanaami wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrr
Huu ni uchochezi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]mchana na ucku chips naimagine vimaji maji atavyotoa baada ya show[emoji23][emoji23]eee baba wanusuru