Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

We kweli mwanaume Wa Dar!!! Unalalamika nini sasa.
 
Wanaume wa dar inabidi muoganize kunji muandamane kuipinga hyo kauli
 
hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]

wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mchana na ucku chips naimagine vimaji maji atavyotoa baada ya show[emoji23][emoji23]eee baba wanusuru
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee
Achana nao hao wa mkoa. Wakishuka Ubungo mtihani wa kwanza ni kuvuka barabara. Kwanza majengo yanamchanganya, pili hajui anaanzaje kuvuka barabara. Wengi wanaishia kupiga simu tukawapokee, halafu wanaleta dharau eti wanaume wa Dar dhaifu. Shynzy taipu
 
Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Hahaha hiyo #3 nimeipenda.
Kwa hiyo hata kukimbia shida
 
Hahhhh.... Labda alikuwa ana wahi dili
Sa si apande tu fresh asimame, make fire na msimbazi kutembea hata dakika 10 haziishi, mwanaume anagombania utadhani ana safari ya masaa mawili
 
Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Cheers kwao
Ngoja nikafanye scrub na pedicure narudi.
 
Back
Top Bottom