sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.
Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa.
Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa, usafiri wanaotumia, mahali wanapoishi, starehe wanazofanya nk
Hii imepelekea kuwa na mvuto na nyota ya kupendwa na wasichana warembo na kiukweli mwanamke yoyote wa kisasa, mrembo mwenye kujiamini anakubalika basi ndoto yake ni ku- date na mwanaume wa Dar.
Wanaume wa Dar wanapigwa vita sana ya maneno na walugaluga pamoja na wanawake 'reject'. Hii vita inasababishwa na wivu pamoja na chuki kwa sababu ya kuzidiwa maarifa na nyota.
Kuna washkaji wanaumia kuona wanatumia nguvu kubwa kupata wanawake wazuri ilihali wanaume wa Dar kwao ni kama kumsukuma mlevi. Watu wanagongewa sana mademu zao na wanaume wa Dar tena bila gharama watoto wanaelewa tu wanyamwezi swaga zao.
Kiukweli am so proud kuwa mwanaume wa Dar 🤣🤣🤣