Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.

Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa.

Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa, usafiri wanaotumia, mahali wanapoishi, starehe wanazofanya nk

Hii imepelekea kuwa na mvuto na nyota ya kupendwa na wasichana warembo na kiukweli mwanamke yoyote wa kisasa, mrembo mwenye kujiamini anakubalika basi ndoto yake ni ku- date na mwanaume wa Dar.

Wanaume wa Dar wanapigwa vita sana ya maneno na walugaluga pamoja na wanawake 'reject'. Hii vita inasababishwa na wivu pamoja na chuki kwa sababu ya kuzidiwa maarifa na nyota.

Kuna washkaji wanaumia kuona wanatumia nguvu kubwa kupata wanawake wazuri ilihali wanaume wa Dar kwao ni kama kumsukuma mlevi. Watu wanagongewa sana mademu zao na wanaume wa Dar tena bila gharama watoto wanaelewa tu wanyamwezi swaga zao.

Kiukweli am so proud kuwa mwanaume wa Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnazingua sana nyie mnawajaza mabeki tatu kutoka mkoani na kutapeli wanaume zao pindi wakiingia jijini[emoji16]

Btw upo sinza sehem gani wewe maana ndo kipande changu cha uko japo kwasasa nipo mkoa kutafuta life.
 
Mkuu wewe unajua vizuri balaa la mwanaume wa Dar mkifukuzia demu mmoja... Unatuita upinde ila mademu zenu beki hazikabi tukija mikoani wanapenda mpaka kiswahili chetu [emoji28][emoji28]
Hii kama inakaukweli ndani yake madem wa mkoani wanapenda sana kiswahili cha watoto wa dar usipoweza jizuia unawala sana alaf bila hata pesa mzabzab tembea mikoani uwapindue wadada[emoji16]
 
Leo naona umewapiga kwa point nying sana vijana wa mikoani
Ulichokiongea ni ukweli mtupu maisha ya dar na mikoani tofaut yake ni kubwa sana kwa angle zote
Mavazi
Vyakula
Starehe
Makazi
Etc

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Hii kama inakaukweli ndani yake madem wa mkoani wanapenda sana kiswahili cha watoto wa dar usipoweza jizuia unawala sana alaf bila hata pesa mzabzab tembea mikoani uwapindue wadada[emoji16]
mawardat kweli wanaume wa dar wanawapindua pindua? Maana nasikia wanaume wa dar hawajui kugegeda ndio maana wake zao wanaomba talaka kila leo
 
Wanaume wa Dar wanapigwa vita sana ya maneno na walugaluga pamoja na wanawake 'reject'. Hii vita inasababishwa na wivu pamoja na chuki kwa sababu ya kuzidiwa maarifa na nyota.
Nimekuja kurekebisha sio "reject" ni "Rejection."
 
Back
Top Bottom